lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zuchu - fire

Loading...

[intro]
(ayo, trone)
(ayo, lizer)

[verse 1]
baby, baby
mi’ na we’ in a thousand lifetimes
baby, baby
mi’ na we’ in a hundred ways
baby, baby
mi’ na we’ in a thousand lifetimes
baby, baby
mi’ na we’ in a hundred ways, yeah, eh, eh
oh, la~la~la, mwenzenu nakuwa chizi
mambo tunayopeana, tunayopeana
ah, salala, k~mbe mapenzi ndo’ hivi
oh, maana naona nampendelea sana

[pre~chorus]
akisikia joto (la~la~la), namuogesha (la~la~la)
namlaza mapajani (la~la~la), napepea vizuri
namrudisha utoto (la~la~la), namnyonyesha (la~la~la)
mkubwa ni kwenu nyinyi (la~la~la), kw~ngu hana kauli

[chorus]
kwa mapenzi moto, moto
fire~fire, fire~fire, eh (oh~oh)
fire~fire, fire~fire, eh (we ndo fire)
fire~fire, fire~fire, eh
my baby keep it burning
fire~fire, fire~fire, eh (oh~oh)
fire~fire, fire~fire, eh (we ndo fire)
fire~fire, fire~fire, eh
[verse 2]
oh, nisiongope, visifasifa nimevizidisha
mizungu yote as’oijua nimemfundisha
ahsubuhi sangara tope, jioni samaki papa namlisha
shobo zenu nyote, mie ndo’ ndivu liwezi katisha
kidege wafikishie salamu (oh, salamu)
vigwegwe vya dar~es~salaam (eh, salaam)
wambie nilizinguka sana oops (ooh~ah)
mashariki mpaka kusi’ (ooh~ah)
nikakutana na wazushi (ooh~ah)
walioniumiza
mola kanitunuku papuchi (ooh~ah)
mwana fundi bin nuks (ooh~ah)
penzi kaeka bando, kifurushi (ooh~ah)
na hatutomaliza
oh nisijishauwe kwa nini wakati ndo’ kashakuwa w~ngu?
ntazimaliza yasini mie kupendwa ndio jadi yangu

[pre~chorus]
akisikia joto (la~la~la), namuogesha (la~la~la)
namlaza mapajani (la~la~la), napepea vizuri
namrudisha utoto (la~la~la), namnyonyesha (la~la~la)
mkubwa ni kwenu nyinyi (la~la~la), kw~ngu hana kauli

[chorus]
kwa mapenzi moto, moto
fire~fire, fire~fire, eh (oh~oh)
fire~fire, fire~fire, eh (we ndo fire)
fire~fire, fire~fire, eh
my baby keep it burning
fire~fire, fire~fire, eh (oh~oh)
fire~fire, fire~fire, eh (ehh fire)
fire~fire, fire~fire, eh
[outro]
nishalia kadi ‘malize mchezo
amenipa jo~jo~joka (jamani jokali beberu)
amenipa jo~jo~joka (da! kanilambisha vitano)
amenipa jo~jo~joka (hata huruma hana)
amenipa jo~jo~joka


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...