lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zorah - nadeka

Loading...

(kassu)
umenifunga kitanzi, na mwili wote umekufa ganzi
yote ni furaha ya mapenzi, nikikukosa nita′dead
na nyuma niliteswa na maradhi, na we umeniponya dakitari
na we ndo tiba yangu mupenzi, unayejua maana ya mapenzi
na pale lips zikigusana, hisia macho kutazamana
we ndo baby baby, we ndo sweetie sweetie
nikuite jina gani mpenzi
niambie!
maana
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
oh mpenzi we, unanifanya naringa
natamba kila siku, yaani wakati wote
nikupe nini we, ama hii dunia
nikupe moyo w~ngu, utawale wote
na kama mapenzi ni uchizi (nidate mazima)
au kama mapenzi kambakamba (nifungwe mazima)
na pale lips zikigusana, hisia macho kutazamana
we ndo baby baby, we ndo sweetie sweetie
nikuite jina gani mpenzi
niambie!
maana
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
nade nadeka
(kassu)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...