lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zahra (tz) - namtafuta

Loading...

verse 1…

ni miaka mingi sasa tangu nimeumizwa na mapenzi

leo bora nitoe maumivu yanguuuu

kipi kisa na mkasa eti kwanini mimi tuu

leo bora nitoe maumivu yanguu

hook

namtafuta kijana mwenye uzuri usiosemekana
k-muelezea ndo siweziii

namtafuta kijana mwenye sifa zisofananaa k-mtambulisha ndo siweziiii

eeeeeh

chorus…

kw-ngu asogee
aje nimuone
vizuri nimpokee
watu wamuone
nimtangazeeeee (wote wamjueeee) x 2

verse 2…

ambae atalilinda pendo langu kwa maana

kila nitachomwambia atafanya yukwapiii ajeee

nimkabidhi moyo w-ngu asije kunisaliti mii

akanichezea akapoteaa nikaijutia nafsi

hook

namtafuta kijana, mwenye uzuri usiosemekana,, k-muelezea ndo siweziii x2

chorus…

kw-ngu asogee, aje nimuone, vizuri nimpokee watu wamuone nimtangazeeee (wote wamjueee) x 2

repeat chorus


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...