lirik lagu zablon k. ndale - mimi ni mzabibu (baba ni mkulima)
Loading...
[s] mimi mzabibu wa kweli, mimi mzabibu wa kweli
nanyi m matawi yangu, baba yangu ni mkulima
mwenye kutunza shamba lake } ~2
[s] tawi lile lisilozaa
baba yangu huliondoa, na kuliteketeza moto
[s] tawi lile linalozaa
baba yangu hulisafisha, lidumu katika kuzaa
hayo ~ hayo ni maneno ya bwana yesu }~2
nyinyi mmekwisha, kuwa wasafi
kwa sababu ya neno, nililowaambia
kaeni nami, ndani yangu
na mimi na mimi na mimi ndani yenu
akaaye ndani yangu, huyo atazaa
kwani nje yangu, hataweza kuzaa
kama vile nje ya mzabibu
tawi halitaweza kamwe kuzaa
maneno yangu yakikaa ndani mwenu
ombeni lolote mtatendewa
naye baba yangu atatukuzwa
na nyinyi mtakuwa wanafunzi w~ngu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu emdi x b.r.t x robbie rosen - mad love
- lirik lagu danil danilov - летний вечер (summer evening)
- lirik lagu natewantstobattle - this is the end (slowed + reverb)
- lirik lagu sunshine christo - odd duckling
- lirik lagu x milano - lacrimosa
- lirik lagu skate merit! - the co-ordinates song
- lirik lagu ynkeumalice - eumalice evol
- lirik lagu naminimumu - vrata raja
- lirik lagu aephyn & viridity - try me
- lirik lagu j.rob the chief (rapper) - goat talk (sugar sean)