lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu yvan paul - sumu

Loading...

verse 1

ingekuwa roho yangu nguo
ningekupa uvae
pale pote uendapo
wote wajuwe
roho yangu yako
moyo uwaume
tupendane mpaka wanune

chorus

mapenzi yako sumu
sumu, sumu
sumu, sumu
mapenzi yako sumu
sumu, sumu
sumu, sumu
mapenzi yako sumu
sumu, sumu
sumu, sumu

verse 2

maco yako yamejaa upendo
kuwa kando yako nikama kuwa kwa paradizo
utamu wa busu zako wanifaa nisahau maisha na uchungu wao
chorus

mapenzi yako sumu
sumu, sumu
sumu, sumu
mapenzi yako sumu
sumu, sumu
sumu, sumu
mapenzi yako sumu
sumu, sumu
sumu, sumu

outro

mapenzi yako
yako kama sumu sumu


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...