lirik lagu yvan paul - dear god (cover)
verse 1:
nimezarauliwa,nikanyanyaswa
mwisho apo nikatupwa mimi
ndipo apo ukaniokota mimi
mimi mwenye roho mbaya ya kila aina
ndipo apo umeniokoa
ukanileta katika uzuri wako
kila nacokifanya naamini roho yako
inaniongoza pale pote napokwenda
wengi wanakula time
istoshe wana eat nyama choma
wakati mimi niko kwenye kona
siamini yangu maco
kanisani wanajifanya kondoo
j~po wa~wanafica makuca
hii kweli nomaa
wengi tunakwisha
apa na pale tunabaguwana
katika haya maisha
chanzo sisi kucukiana
kwanini tusiwe na umoja
kwakuwa mungu ni umoja
tunapopungukiwa
unatubariki baba mwenye heri na riziki
baba mwenye heri yeah
heri na riziki
chorus :
they try to put me down, but i still arise
they try to put me down
but i still arise
verse 2 :
baba wewe mwenye sifa
baba wewe wa taifa
nimekuwa mzaifu
sijui vipi nikusifu
baba aliye hai
mweye nguvu
ningekuwa wapi kabisa
cini ya hii dunia singeweza
baba mwenye njia
uliye pokeya mweu
mwenye ucafu
ukanifanya mkamilifu
popote pale nakutegemeya
sina sehemu nyengine ya kuegamia
nani mwenye roho kama yako
popote pale naona love yako
wewe ndiye wakuabudiwa
wewe ndiye wakuabudiwa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu sara hammarbäck - want to stay
- lirik lagu art morera - where am i going
- lirik lagu dan hicks & the hot licks - i scare myself
- lirik lagu after the summer - fuck do you want?
- lirik lagu art morera - fast money
- lirik lagu vybz kartel - torque
- lirik lagu franziska [deu] - du gehst vorbei
- lirik lagu jinxs - left
- lirik lagu meiqi - mute
- lirik lagu pluri records - what can i say