
lirik lagu yudas bodi - dunia
~~intro~~
duniaaaa! duniaaaa haina jipya
kwanini unatangatanga?
~~verse 1~~
duniaaa! duniaaa haina jipya
kwanini unasuk~mbuka?
unaweza kuona kitu kinakuvutia machoni
lakini ndani yake ni balaaa
unaweza kuona watu wanakula na kunywa vizuri
lakini k~mbe hao ni watoa kafara
watu wanahangaika kutwa kucha kwa waganga
ili wapate fahari za dunia
dunia tuache! dunia tuache! dunia tuache!
tukamtukuze baba
dunia tuache! dunia tuache! dunia tuache!
tukamtukuze mungu!
~~chorus~~
dunia — msiipende (x3)
wala mambo yake yaliyomo
dunia — msiipende (x3)
ili mungu awe ndani yetu
~~verse 2~~
umoja wa mataifa unakaa vikao kila siku
kuitafuta amani, lakini bado hawajaipata
si kwa bunduki, mapanga wala risasi
kuipata amani imekuwa ngumu sana
amani ya kweli (x2)
inapatikana kwa yesu pekee (x2)
ndiye (x2)
anayeweza kuleta amani duniani
~~chorus~~
dunia — msiipende (x3)
wala mambo yake yaliyomo
dunia — msiipende (x3)
ili mungu awe ndani yetu
~~~
~~english translation~~
~~intro~~
the world… the world has nothing new
why do you keep wandеring?
~~verse 1~~
the world has nothing nеw
why are you so drawn to it?
you may see something beautiful to the eyes
but inside, it is disaster
you may see people eating and drinking in joy
but those are the ones offering sacrifices
people struggle day and night at the witch doctor’s
trying to gain worldly riches
let’s forsake the world! forsake the world!
let us glorify the father!
let’s forsake the world! forsake the world!
let us worship our god!
~~chorus~~
do not love the world (x3)
nor the things that are in it
do not love the world (x3)
so that god may dwell in us
~~verse 2~~
the united nations meets every day
searching for peace — but still haven’t found it
not through guns, machetes or bullets
finding peace has become so hard
true peace (x2)
can only be found in jesus (x2)
he is the one (x2)
who can bring peace to the world
~~chorus~~
do not love the world (x3)
nor the things that are in it
do not love the world (x3)
so that god may dwell in us
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu whitendbellow - вторая половина (second half)
- lirik lagu silvia salemi - animali umani
- lirik lagu glacier zest & laughable leonard - laugh with us 2
- lirik lagu سمر طارق - leh - ليه - samar tarik
- lirik lagu patrizia laquidara - eu sei que vou te amar
- lirik lagu mekons - sweet dreams
- lirik lagu rossa murray and the blowin' winds - the real thing
- lirik lagu ロクデナシ (rokudenashi) - 夏を書き留める (to write down the summer)
- lirik lagu 4nothin - человек швейцарский нож (swiss army man)
- lirik lagu кювет (kuvett) - прощай! (goodbye!)