lirik lagu youngkingtz - nimependwa
“young king is coming”
just kid on the truck
“nimeona ma ex w~ngu watakoma, kwaku niongelea, kukaa vikao sanaa haaah, kuta hivi nimependeka tenaa. tenaa nimependa tena nimependa, hakika nimempenda hakuna mwenginee kwenye moyo w~ngu, ni yeye ni yeye ninampenda nayeye ananipendaa wale wote wakutusema wata koma
nimependwa aii
u single bye bye
nimependwa aii aii aiii
nimependwa aii
u single bye byе
nimependwa aii
u single u singlе
u single bye bye
nisha pendwa nisha pendwa
ex ufai, fai, i wish no, sirudiwi sirudiwiii..
babe mimi batini ningongewe nani ila topepo ukija nisionekani
ukitaka kuni k!ll usione usoni, nakama pesa we chuna babe (usijalii) jalii..mana penzi lako tamu zaidi ya asali. mimi sikuachi ata waje kwa foleni
heti hunifai heti hunifai l don’t care. mana
sukari kwa chai sukari kwa chai unakolea, my woman waman womanukiniacha utaniuwaa… na ngoma inogi sio ukipita mda sijakuona aaaahhhhhh
nimependwa aii
u single bye byee
nimependwa aii aii aii
nimependwa aii
u single bye bye
nimependwa aii
u single u single
nimetokea kukupenda sanaa, nitakua na wewe siku zote zamaisha
“ukitata kuni k!ll usione usoni, nakama pesa we tuma babe usijali.”
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu sem99 - black city
- lirik lagu velanit - шиноби (shinobi)
- lirik lagu otu suurmunne - lost and found
- lirik lagu apollored1 - drug love demo
- lirik lagu olivia o. - god knows i'm trying (it's not here)
- lirik lagu 青は止まれ (aohatomare) - おやすみの魔法 (good night)
- lirik lagu lito - no hook
- lirik lagu d-block europe - fetty wap
- lirik lagu el nido (esp) - agudillo ㋡
- lirik lagu dominique février - 4matic