lirik lagu youngkingtz - nimependa
“young king is coming”
just kid on the truck
“nimeona ma ex w~ngu watakoma, kwaku niongelea, kukaa vikao sanaa haaah, kuta hivi nimependeka tenaa. tenaa nimependa tena nimependa, hakika nimempenda hakuna mwenginee kwenye moyo w~ngu, ni yeye ni yeye ninampenda nayeye ananipendaa wale wote wakutusema wata koma
nimependwa aii
u single bye bye
nimependwa aii aii aiii
nimependwa aii
u single bye byе
nimependwa aii
u single 2x
u singlе bye bye
nisha pendwa nisha pendwa
ex ufai, fai, i wish no, sirudiwi 2x
babe mimi batini ningongewe nanyundo ila upepo ukija nisionekani
ukitaka kuni k!ll usione usoni, nakama pesa we chuna babe (usijalii) 2x mana penzi lako tamu zaidi ya asali. mimi sikuachi ata waje kwa foleni
heti hunifai 2x l don’t care. mana
sukari kwa chai 2x unakolea, homa 3x ukiniacha utaniuwaa… na ngoma inogi sio ukipita mda sijakuona aaaahhhhhh
nimependwa aii
u single bye byee
nimependwa aii aii aii
nimependwa aii
u single bye bye
nimependwa aii
u single 2x
nimetokea kukupenda sanaa, nitakua na wewe siku zote zamaisha
“ukitata kuni k!ll usione usoni, nakama pesa we tuma babe usijali.”
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu kingzz - scars auf meinem sleeve
- lirik lagu bad valentine - i am a mess
- lirik lagu xorro - in the moment
- lirik lagu 5thy - your heart
- lirik lagu brendo - love me fa so ti do
- lirik lagu sxnhs - darling, i (won't shower)
- lirik lagu stt laurentt - me & you
- lirik lagu aleyce simmonds - stay gone
- lirik lagu rylorie - gravestones
- lirik lagu marc korn, semitoo & renee (deu) - me and the girl from mars