lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ​young rapper - ujanja ujanja

Loading...

woooh
young d’salaaama
mdb

hihih
mbez lets go
kila kitu ni (ujanja ujanja)
hauwezi kuwa kitu, ka sio (ujanja ujanja)
hata kama hauna ishu, ila ni (mjanja ujanja)
lazma watakusifu, we ni (mjanja ujanja)
basi tafuta hela na (ujanja ujanja)
hahah
kila kitu ni, (ujanja ujanjaaah)
hawezi kuwa na kitu, ka sio (ujanja ujanja)
hata kama hauna ishu, ila ni (ujanja ujanja)
lazma watakusifu
me ni mjanja
naend kiwanja
alafu sina mkwanja
na usifikiri nitasanda
hata kama si kwenda na wana
nakupa offer ya savanna
vile ninavyo onekana
ka nimeshuka kwa obamaa
so haunijui sanaa
kile kitu nataka
nlipata, ndo ilivyo kuwa
so hakuna utata, koz utatat natatua
nmezaliwa kuwa mjanja na hivyo ndo nilivokua
so hata ukiwa umekwama, jifanye unanijua
anhaaa
basi ongea ka gazeti
me sijali, we ongea
mwisho wa siku hausomeki, umepotea
ooh yeaah
michongo inayojiseti kila siku
oooh yeah
paka rapper young d’salaama naongea
basi ukiwa na shida nami, me ndo mjanja wa hapa town
wanaoshindana nami, ndo wanaonivisha crown
mombasa naitwaga bahashaa
hihihi
we unaitwaga ashaa
kila kitu ni (ujanja ujanja)
hauwezi kuwa na kitu ka sio (mjanja ujanja)
hata ka hauna ishu ila ni (ujanja ujanja)
lazma watakusifu we ni (mjanja ujanja)
basi tafuta hela na (ujanja ujanja)
hahah
kila kitu ni (ujanja ujanja)
hauwezi kuwa na kitu ka sio (ujanja ujanja)
hata kama hauni ishu ila ni (mjanja ujanja)
lazma watakusifu
we unashindwa kukamata koz unashinda ukila bata
umepinga me si master, alafu nakushinda kwa maujanja
unalindwa kiasi kwamba unaringa ukiwa na wana
ukishikwa na izo namba, utapigwa ile sana
me naringa kuwa mjanja, na sina hata mkwanja
nadinda hata kama nmekwama
nmepew jina
paka rapper
na hakuna hata mjinga, atakae nikamata
nikiwa msafi napata dili nyingi nyingi
ndo maana swagg, kw-ngu naiona ka hirizi
ila nikiwa mchafu ni nani atakae nisitiri
me nnashida zangu, ntaonekana kama chizi
usijiamini unapokua na mimi, nipe dili uone ninavyo kidhi
naitwa young dar milly milly
najiamini
rhaa!
paka rapper young d’salaama ndio mimi
kila kitu nj (ujanja ujanja)
hauwezi kuwa na kitu ka sio (mjanja ujanja)
hata kama hauna ishu ila ni (mjanja ujanja)
lazma watakusifu we ni (mjanja ujanja)
basi tafuta hela na (ujanja ujanja)
hahah
kila kitu ni (ujanja ujanja)
hauwezi kuwa na kitu ka sio (mjanja ujanja)
hata kama hauna ishu ila ni (mjanja ujanja)
lazma watakusifuu…
woooh
whoohohoh
skia skia, aaah!
hii ngoma imekua kali kwa (ujanja ujanja)
usiogope me ni (mjanja ujanja)
na hiii, hizi ni (ujanja ujanja)
aah! whoo
(…)
paka rapper ni (mjanja ujanja)
kila kitu ni (ujanja ujanja)
kila kitu niii? (ujanja ujanja)
.naitwa young dee


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...