lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu young killah msodoki - 13

Loading...

verse 1:

mama ndie alie nitabiri mi nitakua star na nyota wa kila pande/
nikiwa na raha.. kwa mwenye hasira nisijigambe/

usimpige mkeo piga shangwe/

kwa maana young k!ller sio ngazi.. kwa hiyo mwambieni shetani asinipande/

i think big.. its my dream biggie kuwa/

bigger wa michano n-gga ambaye hata jigga atanijua/

kuwa msodoki nawaficha mistari/upeo wangu umekula mchicha na ndo maana nina fikra za kuona mbali/

msuk-ma anae suk-ma mitikasi ikatulia/

hata ‘ francis cheka ‘ naweza mpiga panchi akalia/

wanaoijua njaa ndo wanaamini cha kwanza kilimo/

mi sijagombania ustar ili nikifa nikazikwe kino/

wabovu wakichana ‘ imo ‘ na hawazijui nguzo tano/

leo kwenye ustar ‘ simo ‘ kisa sina muonekano?/

mi nina power.. ya ibada nilioiomba baada ya kipato/

pole dada ulie nitosa kisa umenizidi kidato/

futa jasho na damu saka noti ‘hali tete’ /

watoto wanamjua diamond na joti”” zaidi ya kikwete/

popote niko fiti…tega skio/

shoga hata akitoa jicho vipi…hawezi kuyaona mafanikio..ndio

chorus:

ni msodoki na ngosha.. miujiza iliyotabiriwa haina haja ya kuogopa/
nafasi nilizozichezea yawezekana zisirudi/lakini ninaweza zitengeneza nikiongeza juhudi/
tangu agosti tangu april.. yeaaah.. tangu agosti tangu april/
nina hustle bila wasi wala hofu/ mungu wangu hawezi nipa shida ambayo nitashindwa kuisolve

verse 2:

wakisha amini unawahitaji zaidi ya wanavyokuhitaji/
mapenzi ya ‘ wadau wa mjini ‘ hugeuka ya ‘ samaki na maji ‘/
uishi ndani yake tu… nje yake uvuliwe/
kwa msaada wake upikwe kisha yawanawishe.. uliwe/

sikuumbwa nije kusettle for less/
nitaisubiri mvua inyeshe.. nijitokeze kudance/
nonsense sitemi/ -sset sio deni/ homeboy.. natema vitu on point.. jifunzeni/
thamini huu muda kabla haujageuka history/
part of the past dont fit the script for the future memory/
niliyoyapitia… yameniandaa kwa haya yajayo/
sio dalili ya kusinzia.. ni ‘ njaa ‘ nikipiga mihayo/
sina jeuri wala mzaha wa kugeza tabia mbovu/ nina kiburi cha jeraha ukinipoteza ninaacha kovu/
maskini.. ninajiamini hadi natokwa na ukungu/
bila ujuzi wasingenithamini.. ningetoswa mpaka na ndugu/
kitachonizamisha sio kudondoka mtoni/
ni kushindwa kupiga mbizi na kusizi ili msinione…

ni msodoki na ngosha.. miujiza iliyotabiriwa haina haja ya kuogopa/
nafasi nilizozichezea yawezekana zisirudi/lakini ninaweza zitengeneza nikiongeza juhudi/
tangu agosti tangu april.. yeaaah.. tangu agosti tangu april/
nina hustle bila wasi wala hofu/ mungu wangu hawezi nipa shida ambayo nitashindwa kuisolve

verse 3:

fq-
napenda umaarufu.. ninachukia mbwembwe zake/
au ninapospit truth kwa booth halafu wakushi hamninyaki/
ninauacha uchi ‘ ukweli ‘ uzushi sio mwake/
hata mkigushi mtafeli.. hamnigusi na hamnipati/

yk-
siamini nimekua mimi hadi hii leo nimefika hapa/
aliyenilea hakuniamini.. niliyemtegemea hakunitaka/
bila nyinyi.. wadau.. ninakili sishiki sarafu/
na ndo maana sili bata kwa maana bata wachafu/
kuwa mkali wa kusifiwa.. kubali kutumiwa/
nilichoambiwa kuwa ‘ sikuhizi hadi wajanja w-n-liwa’/
inatakiwa kuwa striker..mambo yaende schkopa/
kama haujanileta.. hauwezi kunirudisha nilikotoka…


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...