lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu yordan prince - maradhi

Loading...

[intro: yordan prince]
simanzi
“beng’o beats”
maradhi
simanzi
‘izzy’

[verse 1: yordan prince]
ai, tizama kutwa kwa jalala
mchana ndio njaa sijala
kutwa nzima mi namuomba maulana
aniepushie balaa
tizama kutwa kwa waganga
kupiga tunguli mama
ili mradi tusije kutengana
ukaniumiza sana
hata upendo nilionao
ndio umekuaga kwake haunaga maana tena
kutwa nzima kuniliza, akaniacha tamati naumia sana

[bridge: yordan prince]
hata mavazi niliyompa avae hakuyajali tena
ikawa simanzi, mi iliniumiza sana, hey!

[chorus: yordan prince]
maradhi, uliyonipa mwenzako nahenya
na simanzi umeondoka umeniacha dailema
maradhi, uliyonipa mwenzako nahenya
na simanzi umeondoka umeniacha dailema
[verse 2: yordan prince]
mara kunihisigi ndio vibaya
kunitukania mpaka yangu mama
ukanionaga kama sina maana
mi iliniumiza sana
pesa mali kw~ngu ndio tatizo
ukaniacha eti kisa hivo
ungesubili hata kesho hio
mola maulana angesikia kilio
na si ungesubiri kidogo
hata kesho ningekuletea
ukaenda kwa vigogo
haki ya nani mi ulinionea
si ungesubiri kidogo
hata kesho ningekuletea
ukaenda kwa vigogo
ah, ulinionea

[bridge: yordan prince]
hata mavazi niliyompa avaе hakuyajali tena
ikawa simanzi, mi iliniumiza sana, hey!

[chorus: yordan prince]
maradhi, uliyonipa mwenzako nahеnya
na simanzi umeondoka umeniacha dailema
maradhi, uliyonipa mwenzako nahenya
na simanzi umeondoka umeniacha dailema
[autro: yordan prince]
hey, tala lalala ah ah ah
mama, mama, mama ah
heh, tala lala ah
talala


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...