lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ydnw dive - nime kumiss

Loading...

kama kukupenda meenzangu, sitochoka
sura yako machoni pangu, ahitotoka
najiuliza!, ukowapi mama

sauti yako!, uwayaniita ndotoni
nime k~miss!, naomba rudi mama
ukowapi!, nime k~miss sana
sauti yako, uwayaniita ndotoni
sura yako, aitotoka machoni’iih
juwasiwanadamu, twafanya kosa
nakama kunakosa nilokutendea, naomba unisameh
najiisi!, nimebadilika
naimani!, yatajibowa yenyewe

ukowapi!, nime k~miss sana
sauti yako, uwayaniita ndotoni
ukowapi!, nime k~miss sana
sauti yako, uwayaniita ndotoni
oh’oh yeh, ukowapi’hih
oh’oh yeh, nime k~miss sana
oh’oh yeh, ukowapi’hih
oh’oh yeh, nime k~miss sana

kwanza nak~mbuka tulipotoka, mi’ naweh
tukicheza kombolela huh!, mi’ naweh
atashule!, mimi naweh
ukowapi, mbona umeniacha mwenyewe
nime k~miss, naomba rudi mama
ukowapi!, nime k~miss sana
sauti yako, uwayaniita ndotoni
sura yako, aitotoka machoni
(sauti yako)

(sura yako)

(sauti yako)

(sura yako)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...