
lirik lagu yanga iyo - kapaso bkp
yanga iyo, yanga iyo
yanga iyo, yanga iyo
yanga iyo, yanga iyo
yanga iyo, yanga iyo
walipo lala tumeamka kitambo
makombe yetu wao wanabeba mabango
wambie swara hanywi maji anapo kunywa tembo
we yani raha atari pira kwa lango
oooh
wanatuchukia aaah, wanatuchukia roho zao mbaya
(wanatuchukia aaah, wanatuchukia roho zao mbaya)
wametununia aah, wametununia roho zao mbaya
(wametununia aah, wametununia roho zao mbaya)
yanga iyo, yanga iyo
yanga iyo, yanga iyo
(yanga iyo, yanga iyo, yanga iyo, yanga iyo)
yanga iyo, yanga iyo
yanga iyo, yanga iyo
(yanga iyo, yanga iyo, yanga iyo, yanga iyo)
eeeh unaambiwa ii ndo dar yanga africa bwana we jamaa
aya sasa
piga chini jangwani, piga chini
piga juu wananchi, piga juu
piga chini jangwani, piga chini
piga juu wananchi, piga juu
ona wameukwepa kwepa (wameukalia wenyewe)
wameukwepa kwepa (wameukalia wenyewe)
wameukwepa kwepa (wameukalia wenyewe)
wameukwepa kwepa (wameukalia wenyewe)
nyumbani jangwani tunawaza ya kesho
ila majirani wamekuwa vituko
makombе kibao imekuwa komesho
watoto wa mbugani wanawaza mipasho
aya sasa
kuoga wataoga (ila hawaendi mjini)
kuvaa watavaa (ila hawaеndi mjini)
kuoga wataoga (ila hawaendi mjini)
kuvaa watavaa (ila hawaendi mjini)
wanatuchukia aaah, wanatuchukia roho zao mbaya
(wanatuchukia aaah, wanatuchukia roho zao mbaya)
wametununia aah, waone wametununia roho zao mbaya
(wametununia, wametununia roho zao mbaya)
aya sasa maneno kidogo
(wananchi aoo)
maneno kidogo (gsm uyo)
maneno kidogo (injinja uyo)
maneno kidogo (arafat uyo)
maneno kidogo (ali kamwe uyo)
maneno kidogo (privadinho)
maneno kidogo (haji manara uyo)
maneno kidogo (makoo aaah)
(wananchi aao)
(gsm uyo)
(injinja uyo)
(arafat uyo)
(ali kamwe uyo)
(privadinho)
(haji manara uyo)
(makoo aaah)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu error - blash (volodymyr bushuiev)
- lirik lagu 21 2 - comann & vali miron
- lirik lagu russian roulette - zentheghoul
- lirik lagu очень громко (very loud) - savelno
- lirik lagu hurricane - nekotina
- lirik lagu hnev v plameni - fifqo
- lirik lagu helreiðin - bubbi morthens & stríð og friður
- lirik lagu no limit - serbsouljaa & l1rex
- lirik lagu ghabrahat - v-shaedy & muterix
- lirik lagu get like me - idiz