
lirik lagu yamoto band - nitakupwelepweta
(aslay)
unajifanya bingwa wa kupenda (dada ee)
k~mbe bingwa wa kutenda kuliko kupenda(dada ee)
tena unasifa yakuogopwa kama difenda(dada ee)
umeua wengi ila kw~ngu umedunda
ahh koma ee sitaki nizikwe na kilo mbili kwenye mf~ko
mama ee sitaki familia ilie kwasababu yako
dada eee ananitegemea mama ee (aee)
nikifa atalia sana ee aa
katika familia na mimi ni baba j~po baba yupo
nikija kufa ufa nani ataziba ebu kwenda zako
ananitegemea mama ee aeee
nikifa atalia sana ee
(enock)
kuku wa kizungu mchinjaji ana tabu x2
ebu niache (eeh) ebu niache unapita na dumu la petroli ebu niache x2
una rambo mm nina mua mi ujinga ujinga tu eee hujaniua x2
(chorus)
unakichaa mm nakuita wewe mwendawazimu
nimepata habari mwili wako umeujaza sumu
unang’ang’ana unataka mm kunipa utamu
umekosa sengeru ngoma ya kucheza huna nenda kaicheze
(segere,segere mama
segere segere ohhhh
segere segere mama
(we mwali nenda kaicheze) x2
(maromboso)
(mama mama mama mamaa)
eti ametuma mashoga zake waje kuniambia
roho inamuuma kidudu penzi kinamsumbua
siri imevuma mimenyula wengi wanajipakua
hana huruma kalitoa wapi aje kuniua
ilikuwa siasa nikatoa nikagawanya
nikajua anadanganya we mmbaya wee
nusu dengu nusu dona wengi wao unawadanganya
mama chidi we kitanda huna haya weeee
(bridge)
mimi sio saizi yako nitakupwelepweta bure
tafuta taipu yako wa ilala
mm wa kilungule x2
(beka)
unataka kunipepelusha we kimbunga huniwezi ng’oo
kina chako cha maji marefu kuogelea sikiwezi ng’oo
unashinda kuwinda vyenye kung’aa vya masizi
huvitaki noo
unang’ang’ana kama ruba kweny mwili w~ngu
we nenda zajo yeee
na ushindwe ushindwe uniache mm mwana wa mwenzio
kwetu nd jembe jembe ukivunja mpini ni kilio x2
(chorus)
(bridge)
(aslay)
ana chuma cha moto huyoo
anaunguza watoto huyooo
apewe mkong’oto huyooo
ili ifike mwisho huyooo
tabia yake,tabia yake,tabia yake
asante
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yada yada (punk) - emoticon
- lirik lagu michael whiteman - gather//together
- lirik lagu fatum & angel taylor - on my own
- lirik lagu crazy crazy awesome awesome - trillin' like a villain
- lirik lagu logic - fx3*
- lirik lagu creep-p - 取り付かれて (obsessed) (amagaku version)
- lirik lagu günther sigl - das fräulein vera
- lirik lagu h3l kamikaze - kenobiflow
- lirik lagu lu alone - jeová (jehovah) (ao vivo)
- lirik lagu cave studio - look at me