lirik lagu yamoto band - cheza kwamadoido
mesen na ya moto x8
nilisema unipigie unipigie kabla ujatoka
unipitie (unipitie) mwenzako nimechacha
iweje unizimie (unizimie)na simu ukasepa
unikimbieee!
nimekuja na miguu kufata burudani!
oooooooh!
na nimepata tabuuuu hadi kuingia ndani aibuuu!!!
aiyaaaaa!!
nyamukila dibwee x3
ah ah ee ae
nyamukila dibwee x3
ingia kati uonyeshe ndani nimeingia!
we mama zungushaa
kakupa god kiuno x3
we dada zungusha
kakupa god kiuno x3
aleeeh cheza kwa madoido kwa manjonjo x2
sema
cheza kwa madoido kwa manjonjo
aleeeeh! cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo
wajawazito ni ruksa ndani kujifungua ehh!
madaktari ni wengi sana wanasakata bazugi!
aliye kuja na guta nje aje kulitoa ehhh
maana kupaki vibaya watu wanataka nafasiii!!!
masai na mamaaa
(yoyooo)
marungu na simeee
no no nooo!
msije gombana (ukoo)
mkatoa watu shingo!
ahhh! we chaiba ebu wacha magongo
ukija zama nayo mi nitakupa kipondo.
na we panya uwachage kuruka ukuta nikiibadilika
nakua na hasira za pacha
zamani babu kanifunza kucheza
ishara ya kufurahi
huna sababu ya kununa wakati ngoma ing’ai ing’ai
we muharabu sijui mchina pandisha mori kama masai…
zungusha bodi uwaoneshe jinsi gani waweza kujidai.
we furahi jidai
na cheza kwa mbwembwe
usione hatari kufurahi
hata kama
kikongwe!
uko mali we karibia
yamoto tuku konge
wote shida zetu ziko nyumbani
hapa turuke ili song
alleeeh! cheza kwa madoido kwa manjonjo x2
sema
cheza kwa madoido kwa manjonjo
aleeeh! cheza kwa madoido kwa madoido na manjonjo…x3
sema
cheza kwa madoido kwa manjonjo
aleeh! cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo…
mensen na ya moto
cheza kwa madoido kwa manjonjo
aleeh! cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo…
cheza kwa madoido kwa manjonjo
sema
cheza kwa madoido kwa madoido manjonjo x2
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu ben watt - gradually
- lirik lagu ryeowook - the little prince
- lirik lagu arisa - guardando il cielo
- lirik lagu unchained beast - split of conscience
- lirik lagu muse - the globalist
- lirik lagu viikate - mantelinmakuinen
- lirik lagu take - addiction
- lirik lagu whitney - no woman
- lirik lagu el sentir de la bachata - ella y yo
- lirik lagu estevão guerreiro - se eu fosse mais