lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu yammi - upepo

Loading...

[intro]
haaaaaa aaah haaaaa
haaaaaa aaah haaaaa
haaaaaa aaah haaaaa
mr lg

[verse 1]
i am feel happy pale tu mi ninapokuwa na wewe
sitaki hii safari niondoke mwenyewe
we ndo ntakuuliza when i see no way
even in the dark torch utamulika maradi nisipoteee
kama mbalamwezi ikiangaza daily
acha mimi na we tupendane baibee

[bridge]
acha niwambie his story
toka day one nilivyo falling
siku haiwezi bila calling
usiku mzima si twapiga sorry
nikaanza feel real love
nafsi zikakutana
bila hata kula
sisi tukashibana

[chorus]
na penzi letu lina vuma vuu
kama upepo
kama upepo
kama upe mmh
kama upepo
kama upepo
aaah aaah
[verse 2]
what what what this love
i i found this guy
the one kiss me better than any one
sa sah why nimkinai
sioni nachonyimwaaa
hata mseme nini si hatuachani

[bridge]
acha niwambie his story
toka day one nilivyo falling
siku haiwezi bila calling
usiku mzima si twapiga sorry
nikaanza feel real love
nafsi zikakutana bila hata kula
sisi tukashibana

[chorus]
na penzi lеtu lina vuma vuu
kama upepo
kama upepo
kama upe mmh
kama upеpo
kama upepo
na penzi letu lina vuma vuu
kama upepo
kama upepo
kama upe mmh
kama upepo
kama upepo
lina vuma vuu
[outro]
kama upepo
kama upepo ooh ooooh
haaaaa aaah aaaaah aaaah
haaaaaaah aaaaah
haaaaa aaah aaaaa
haaa aaah
linavuma kama upepo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...