lirik lagu yammi - kiuno
[verse 1]
namkisikia nimeumwa nimelazwa nimekonda nime dead
yale mapenzi
namkisikia ameumwa amelazwa amekonda amedead
yale mapenzi
namsiulize kw~ngu amefuata nini
ni nyama kwa nyama maini
nimezama kina mpaka chini
na navyodeka sijui ntamwacha lini
[bridge]
na pengine
ye ndo anafanya niwe loyal
mahaba yake yananichanganya
staki mwingine
yeye ashanitouch kwenye moyo
midomo yake akinikiss mwa…
[chorus]
si anapendaga kiuno kanipa mama
kanipa mama kanipa mama
na mi napenda shoo kampa baba
kampa baba kampa baba
anachopendaga kanipa mama
kanipa mama kanipa mama
ninachopendaga kampa baba (baba oh)
kampa baba (baba oh) kampa baba (baba oh)
[verse 2]
kinachofuata mchana tunakiwasha
usiku tun~z~ma ta
yaani ta ta ta
na mimi hapa
nampa anachokitaka
sindimba chakacha
yaani ta ta ta
alooo, my baby mwenzako nyang’a nyang’a
you know we ndo my sweety banana nana
baisho i love you baby ooh na na na
i am in love unanicontrol
[bridge]
na pengine
ye ndo anafanya niwe loyal
mahaba yake yananichanganya
staki mwinginе
yeye ashanitouch kwenyе moyo
midomo yake akinikiss mwa…
[chorus]
si anapendaga kiuno kanipa mama
kanipa mama kanipa mama
na mi napenda shoo kampa baba
kampa baba kampa baba
anachopendaga kanipa mama
kanipa mama kanipa mama
ninachopendaga kampa baba (baba oh)
kampa baba (baba oh) kampa baba (baba oh)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu antbando - monsters / lights out
- lirik lagu qanoe - фермер
- lirik lagu horus & metox - ласточка (the swallow)
- lirik lagu karma and the killjoys - alleluia
- lirik lagu fehlfarben - bundesagentur
- lirik lagu valuá - tokio
- lirik lagu les vinyl - sidekick
- lirik lagu skonov - изнутри (from the inside)
- lirik lagu slimecicle - home safety hotline
- lirik lagu void of vision - neurotic