lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu yammi - hanipendi

Loading...

hivi unavyo nifanyia naomba visijirudi kwako
maana mi naupenda moyo wako
nime muonaaa dah.. ume mpost mtu wako
mnaendana sanaa na mimi sio type yakoo

nateswa na baridi silalii na weweseka
kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
wakunipendeza amekuwa dhohari nyinyi nataabika
zile njozi sizipati nzuri

ooohhhh
hanipendi hanipendi hanipendi
hanitaki teena jamani hanipendi
hanipendi hanipendi hanipendi
hanitaki teena hanipendi..
kabadilika kawa mbogo instagramu ana post madongo
kautupa moyo kwa korongo sioni kasha nipa chongo
mapenzi swala la uwongo siamini nime chezeshwa sodo
mwenzenu nime ukoka moto
unaniunguza mwenyewee

nateswa na baridi silalii na weweseka
kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
wakunipendeza amekuwa dhohari nataabika
zile njozi sizipati nzuri

ooohhhh
hanipendi hanipendi hanipendi
hanitaki teena jamani hanipendi
hanipendi hanipendi hanipendi
hanitaki teena hanipendi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...