lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu xprso. - thinking

Loading...

[intro]
tell, tell the government nimesema, yeah
tell the government i said
tell the government i said

[verse 1]
next time, sijipeleki kupiga kura ka ni zile jina tushazoea kuona
next time,
this time, mzazi sitamskiza akinichocha na mambo ya ukabila, bila (ahh)
juu tunabaki bila tukichagua mtu wetu na bado anaenda kuiba
heiya, serikali mumeshinda
mumezoea kutuingiza (kutuingiza)
mnatupima, tunapimika (tunapimika)
nchi imegonjeka, na dawa zimekwisha
na kwa wazee you don’t always know best (best)
juu ni wazee wametuingiza hii mess

mulipoteza vision, ni time ya mayouth wote kustart

[chorus]
thinking
hio mali yote serikali inasanya ni sisi tutalipa anyway please start
thinking
before ufuate mwanasiasa jiulize alitoa wapi ganji bana start
thinking
juu ya venye tutaanza revolution
thinking
itabidi tutafute ma~solution
thinking
hii ni nchi ya ma~youth so please start
thinking
we are already sinking
thinking
[verse 2]
wanakuja kutubeba ufala ju wanaona si wanyonge bana siste start
thinking
ajira huku ngumu kupata tunalalamika tuki~suffer brathe start
thinking
vile tuta~secure our future
thinking
tuzuie hawa wazae kuturusha
thinking
hii ni nchi ya ma~youth we need to start
thinking
tubadilishe hii system
thinking


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...