lirik lagu xhatoh - loki freestyle
loki freestyle lyrics
chorus..
huna kadi we baki uko nje
kuzama humu ndani niga
labda uvamie ,walinzi wa
party wako nje na
hawataki utani we
xo baki uko nje..
verse..
tena na tena
mi na masela
vibe ni kubwa
ka tupo jela
ka umependa
we unga tela
kua makini
usiwe kilema
popote unaaizi
kama coach~lla
popote na tagi
usije kutekwa
nenda ata church
mapema tena
ukileta usnitch
krrrrr krrrrrr
mbona mapema
mbaka utasema
hurudii tena
mate utatema
huwezi ku denie
ukikataa penalt
unataka ubatle nami
uwezi tena
huwezi kutumia
sеma mapema
huwezi kuvumilia
sepa mapеma
diablo & smar t sound lets gooooω
t ushaanza ‘sasa tupo sehemu flan
sio pabaya sio pazuri hapafati hata desturi
mitaa inaongo zwa na wauni’
mzee heshimu shughuli’
bishana upigwe mihuri ‘
mimoshi mbaka kivuli’
na t unakaza ‘ mbaka tuwafume wakwanza
tuwakaze tuwapakaze wawe wazazi ‘
wafate uzazi wa mpango ‘
wasipoteze mipango
ya kusafirisha magendo
kutoka bongo to london
na t unapaza sauti juu ‘
sauti yenye vina na stanza’
si tuna play play pause’
play play pazle’
tia tia mkazo’
mbaka wazazi micharazo
wajue smar t ndo chanzo
xhatoh mix ω
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu miami yacine - europol*
- lirik lagu nyluu - go !
- lirik lagu something better - telephone game
- lirik lagu danergy - away
- lirik lagu ola flow - menogetshishi
- lirik lagu supergrass - strange ones (backbeat version)
- lirik lagu primyl vinyl - halftime entertainment
- lirik lagu young threat - judge me
- lirik lagu ember knight - mvt. iii - danza rossa
- lirik lagu skillibeng - high times