lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wizz jupiter - avele

Loading...

[ verse ]
basi fungua,nabisha hodi…
usije zingua,moyoni ukaniachia matobo…
similiki ndinga,sina nyumba nna chumba…
wenye macho ya simba,wakiniona nawe wanavimba iyeee…

[bridge]
wanasemaga pesa sabuni ya roho…
usiniumize moyo utanirusha roho…
si unajua sina chambi madon wana dooh…
usijenipa homa ninywe panadol ×2 oohooo

[chorus]
avele avele avele eeheee ×4

[verse]
nabisha hodi tena..
na kama umenishika umenishika vyema..
eti umeniroga wengi wanasema..
nipe kauli thaabiit..
na na basi nikikutizama…
ulivogawanyika nyuma hizo nyama…
sikufichi nahisi damu kusimama…
mkisema sijali mie nimezama aah..
shape ulivofanafana…
ukicheka midomo ilivo mipana…
huo mwendo nyuma unaacha lawama…
unanipa mornie mpaka linazama aaah…

[bridges]
wanasemaga pesa sabuni ya roho…
usiniumize moyo utanirusha roho…
si unajua sina chambi madon wana dooh…
usijenipa homa ninywe panadol oohooo

[chorus]
avele avele avele eeheee ×4


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...