lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wiz chain - susu

Loading...

intro: aha! hi ni genge sahi bwana hi kitu ni noma oh ni wizzy bwana huh!! shar it men viki, viki

chorus!

ulikula nini jana. ( ugaliiiiii, ) ukaenda wapi jana..
(kanisaaaaa) uka lala wapi jana. ( kwa kitiiiiii) tena uka fanya ninii?
( nika susu).( x2)

susu, susu, susu, ( let’s do) susu
susu, ( let’s do) susu, ( let’s do it)
susu,( let’s do) susu, susu( let’s do)
susu, susu,( let’s do) susu, susu( let’s do) susu, susu, ( let’s do it)..

verse!

(wiz chain part)

raaaah!!! tuna kula pesa kama bangi. maringo sura, sura kama monkey.. kenyan girls on the floor
babe show them how we glow…
girl twerk, twerk on tik tok….
babe tell them i’m king kong..
alama hizi, hizi chiziii, chiziii..
titi, titi titi hizi hivi!
mwaga hizi vatu ndani sitaki..
another thing mimi ni bangi..
mkono kwa mafugu abolu..
ordinari with the gang kuku!

pre~ chorus!

(vicki part)

ulikula nini jana. ( ugaliiiiii, ) ukaenda wapi jana..
(kanisaaaaa) uka lala wapi jana. ( kwa kitiiiiii) tena uka fanya ninii?
( nika susu).( x2)

verse!

(vicki part)

mwanzo kuandika ngoma. nilifundishawa na mama. nikakutana na wiz chain. akasema mi mnoma. mimi ni mnoma..(wacha!) na ngoma ni ya dunda. becky come we dance. ( mmmh) mimi ni mnoma. ( wacha!) na ngoma ni ya dunda.( wacha) becky come we dance. (mmmh! )

mmmh… mmmh… susu, susu, susu lets do susu!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...