lirik lagu willy paul - tamu walahi
eeh eeh eeh eeh eeh eeh eeh eeh
eeh eeh eeh eeh eeh eeh eeh
katoto hodari, akikata hodari, kiuno hodari, akipanda hodari
full shangwe anajiachia
ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
tamu walahi mama tamu walahi
ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
tamu walahi mama tamu walahi
muondoka wako tamu walahi
ukiniguza tamu walahi
na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi
eti baby anapenda, anapenda njaro za kipole pole
yaani mwendo wa kobe, kobe kobe kobe
kasheri kanapendaga tu mayai na tu soseji
alafu mwendo wa kobe kobe kobe kobe
anafanya, namwaga jasho sho sho
natokwa na pepo popo shoti kama ya ronaldo dodo iiih
ngozi ilivo nyooka, malaika my darling
(lala lala lala lala lala lala lala lala lala)
unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe, eti pepe, naskia tu pepe
ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady
tamu walahi tamu walahi mama tamu walahi
ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady
tamu walahi tamu walahi mama tamu walahi
muondoka wako tamu walahi
ukiniguza tamu walahi
na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi
mtoto anataka tucheze tu baibuda maimuna hataki pressure, ooh my lover
ooh baby ukiniguza wanitia haya
na unavokata chumbani mama unani maliza
aaih mama, mama, wanimada mama
wanimaliza mama, mmmh mama
wanaokudharau, wana roho mbaya
itabidi wafunge virago warudi waliko toka
shindwe pеpo mbaya
unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe
eti pеpe, naskia tu pepe
ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
tamu walahi mama tamu walahi
ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
tamu walahi mama tamu walahi
muondoka wako tamu walahi
ukiniguza tamu walahi
na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi
muondoka wako tamu walahi
ukiniguza tamu walahi
na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu fumiko - extended
- lirik lagu big mic tgk & dj puza tgk - playlist
- lirik lagu rinyuko - truck
- lirik lagu mcklopedia & tracy de sá - alzypher vol. 11
- lirik lagu patti page - it's a good day
- lirik lagu avery ryan - habits
- lirik lagu brye - diet culture (stripped)
- lirik lagu 1sheu - dual standart
- lirik lagu sita - ga voor gezond
- lirik lagu mxva - кожа (skin)