lirik lagu willy paul - kesho
nak~mbuka nikikuita unasonya
wanipandisa wanishusha
nilikua sina doh
mtaani nala dodo
nilikua sina jambo
iweje leo nina jambo
mwana kulifind mwana kuli get oh
ndio waniita mpenzi
mwana kuli find mwana kuli get of
ndio waniita your baby
i’m sorry nilipotaka uwe mke
ulisema sina doh so so sorry
ata kabaiskeli kangu
ulisema nisake doh doh
do you know
ni kidonda aina gani
uloniweka moyoni
upendo unadhaminiwa, pale wakiwa nazo
upendo unadhaminiwa, pale wakiwa nazo
nilikuomba usubiri ata kesho
nilikuomba usubiri ata kesho
na na kesho sawa
nilikuomba usubiri ata kesho
na na kesho sawa
nilikuomba usubiri ata kesho
na na kesho sawa
ulichoka na maisha ya tomato
tomato tomato tomato chumvi ugali
ulitaka maisha dubai na mi sikatai
bora ungeni subiri baby ona leo
ninamiliki nayumba 30 pale lavii
it’s so sad siwezi share
na niliye mpenda kwa moyo wa dhati
my valentino, ungenitunzia moyo wako
kuliko kunivunja moyo ulivyonivunja mama
hata kosa ilipo tokea , nilishindwa kukasirika
hata moyo ulipo nivunja, nilishindwa kukasirika
nilikuomba usubiri ata kesho
nilikuomba usubiri ata kesho
na na kesho sawa
nilikuomba usubiri ata kesho
na na kesho sawa
nilikuomba usubiri ata kesho
na na kesho sawa
ulitoruka sababu sikua na lolote
kwa magoti niliomba usiniachе my lover
kesho yetu itakua sawa
ulipigiwa simu
nilipo gonjеka karibu nifa mama
ukasema hunujui, mi na we tulikua mistake
baby don’t blame me, don’t blame me
nimepata mwingine
baby don’t blame me, don’t blame me
nimepata mwingine
nilikuomba usubiri ata kesho
nilikuomba usubiri ata kesho
na na kesho sawa
nilikuomba usubiri ata kesho
na na kesho sawa
nilikuomba usubiri ata kesho
na na kesho sawa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu xerx - what is the essence? (w.i.t.e)
- lirik lagu stxpidash - luvsong (prod. @prodgreentop)
- lirik lagu vnv nation - artifice
- lirik lagu audrey sherman - above
- lirik lagu edgemaster42 - please be patient i have autism
- lirik lagu juice wrld - deju vu
- lirik lagu studio san francisco - mortal
- lirik lagu guilherme camilo - mulatinha
- lirik lagu zorjoke - my plague
- lirik lagu jack-one & powtothehead - damn!