lirik lagu willy paul - diana
kwa nini ukiniitisha mi nashindwa kukunyima, kamote
ukinituma nakimbia, izo ni kamote
utakuja kuni~murder, kamote
nione huruma mama (pozee)
nilitaka tu niguse nilambe (nilambe)
sikutaka twende far
nilitaka tu niguse nipepete (nipepete)
sikutaka twende far
oh diana, hii ni kamote
navyo jifeel sielewi hii ni kamote
oh diana, hii ni kamote
navyo jifeel sielewi hii ni kamote
ona sa diana umeni~murder nguvu
kila time tu ni sekete (oh yeah)
diana umeni~murder nguvu
kila time tu ni sekete (haki woie)
aii, diana
ah, diana, diana
diana, ah, diana
watoto wako naosha, tena napanguza yoh, aje?
chupi zako mi nafua tena nakausha yoh, aje?
i’m in your house and i don’t know why (diana)
naosha vyombo and i don’t know why (haki walai)
now i’ve fallen deeply in love, kamote
ona sasa navyokupenda, kamote
hizi ni madumba mama
mimi mtoto wa mama
oh diana, hii ni kamote
navyo jifeel sielewi hii ni kamote
oh diana, hii ni kamote
navyo jifeel sielewi hii ni kamote
ona sa diana umeni~murder nguvu
kila time tu ni sekete (oh yeah)
diana umenimurder nguvu
kila time tu ni sekete (haki woie)
aii, diana
ah, diana, diana
diana, ah, diana
watoto wako naosha, tena napanguza yoh, aje?
chupi zako mi nafua tena nakausha yoh, aje?
aii, diana
ah, diana, diana
diana, ah, diana
ona sa diana umeni~murder nguvu
kila time tu ni sekete (oh yeah)
diana umeni~murder nguvu
kila time tu ni sekete (haki woie)
nilidhani itakuwa one night stand
one night stand
nilidhani itakuwa one night stand
one night stand
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu lil la fayette - kell zigi (feat: lil triply $ac€)
- lirik lagu atmzar - 10.perplexin’
- lirik lagu rackie - the way life goes
- lirik lagu tors - anything can happen
- lirik lagu madmans esprit - bitter
- lirik lagu mc hariel - flores de plástico
- lirik lagu maja marijana - vrati se, rođeni
- lirik lagu william walton - through gilded trellises
- lirik lagu american girls (band) - out on my own
- lirik lagu mission in black - what does it take to be alive