lirik lagu whozu_ - huendi mbinguni
[intro]
switch
whoozu
yeeza man yeezaya
put the fire upon dem
lord have mercy
it’s 2kizzy baby
whoozu man
binguni man
deali
[verse 1]
naona kisa kujuana
umezidisha sifa mpaka umenioa vibaya
style za singeli nacheza nyimbo za choir
umeninyima lifti uncle una roho mbaya
kivua vina tumbu kama ume expire
yeah
cheki mwili mzima umejichoraa tattoo
unawadhaurizi mchuna ukapata nafuu
vitu vyako feki bado unauza bei juu
unajisahaulisha chenji unaminya juu juu
watasema eeh eeh napiga kelele
maneno maneno mengi na kiherehere
kubishana mi sipendi, naomba muelewe
ila ukweli ndio (huooo)
[chorus]
huendi mbinguni
huendi mbinguni
huendi mbinguni (ye ye ye ye)
huendi mbinguni (ye ye ye ye)
huendi mbinguni
ndo ushafelii ehh (huendi mbinguni)
huo ndoukweli eeh (huendi mbinguni)
ndo ushafelii (huendi mbinguni)
huo ndo ukwelii
[verse 2]
ahh
ati unakula bia, na kwenu haujajenga
achanga urwambi urwambi una culture pewa
posa haijafika unamsnitchi mshenga
shepu sio yako, ume edit pic (aiyee iyaya)
mtumishi unasinzia ibadani
unatia uwongo mpaka msibani
nikiwa serious unafanya utani
unanibeep alafu haupatikani (yeah)
cheki mwili mzima umejichoraa tattoo
unawadhaurizi mchuna ukapata nafuu
vitu vyako feki bado unauza bei juu
unajisahaulisha chenji unaminya juu juu
watasema eeh eeh napiga kelele
maneno maneno mengi na kiherehere
kubishana mi sipendi, naomba muelewe
ila ukweli ndio (huooo)
[chorus]
huendi mbinguni
huendi mbinguni
huendi mbinguni (ye ye ye ye)
huendi mbinguni (ye ye ye ye)
huendi mbinguni
ndo ushafelii ehh (huendi mbinguni)
huo ndoukweli eeh (huendi mbinguni)
ndo ushafelii (huendi mbinguni)
huo ndo ukwelii
[outro]
huendi mbinguni
huendi mbinguni
huendi mbinguni
huendi mbinguni
it’s 2kizzy baby
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu "jonáz" gonzález - brazilian wax
- lirik lagu tim finn - great return
- lirik lagu elliah heifetz - simona
- lirik lagu akura - sunday morning
- lirik lagu billy walker - mr. heartache
- lirik lagu benji boi v - fashion
- lirik lagu sandy - pra me refazer
- lirik lagu isolation - langsam kommt die zeit
- lirik lagu boytronic - tune called emotion
- lirik lagu perfume - モノクロームエフェクト (monochrome effect)