lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu whozu_ - attention

Loading...

[intro: whozu & zuchu]
yezzeman
…zombie
(s2kizzy)

[verse 1: whozu]
umetoka kwenu bush, nakuona
sa hivi unajiona
una force kujipost, post na’
hakuna kitu naona (yeah)
wewe sio wa kwanza kukupenda
naweza kukuacha na ukaenda
ukitaka ushindani, uta~surrender (surrender)
uta~surrender

[hook 1]
haya, haya, ’tia maji
haya, haya, ‘tia maji
kununua zako huwezagi
basi bora unywe maji

[chorus: whozu & zuchu]
huna jipya
tena umepauka
unapenda attention
attention
una sifa, ona limekushuka
sikupi attention
(mm~mm)
attention
(wee!)
[verse 2: zuchu]
mungu naomba unisamehe kwa hili kosa (hili kosa)
huyu mbwa nimemvumilia, nishachoka (nishachoka)
nilikaa kimya bubu, ukaleta uduanzi
sasa leo nakujibu upate vi~followers
kwanza, kisu chako butu
hakinoi, hakikati, yaani~
um, tum, tum, tum
tum, tuku, tum, tuku, tutu
unajitia mchati huna kitu, tu, tu
unacho niudhi huna k~mbuk~mbu
ulikuja juzi umekonda kama mbu
nikakupa ujuzi kukutoa ukungu
usilete makuzi, kaoshe map~

[post~chorus: whozu & zuchu]
huna jipya
tena umepauka
unapenda attеntion
(kwenda!)
attention
(hovyo)
una sifa, ona limekushuka
sikupi attеntion
(hilo!)
attention
(hilo!)
eti nyoko, nyoko
nyoko, nyoko
[hook 2: zuchu, both, & whozu]
haya, haya, ‘tia maji
haya, haya, ’tia maji
kununua vyako huwezagi
basi bora unywe maji

[outro: whozu]
huna jipya
tena umepauka
unapenda attention
attention
una sifa, ona limekushuka
sikupi attention
attention


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...