lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu whozu - gere

Loading...

[intro : alikiba]
aah~aah
yeah! (aah~aah)
s2kizzy baby

[verse 1 : whozu]
eh, boya mie, mie
mjinga wa mapenzi haswa, eh
ah, fala mie, oh, mie
na kwake nimeshanasa, eh~eh

[pre~chorus : whozu]
supu haipandi mama
nikikuudhi naomba samahani mama, haya we
figo zitafeli mama
pombe siziwezi utanikuta mochwari mama
wa kw~ngu ni mtamu (mtam, mtam, mtam)
mambo bam~bam (bam, bam, bam)
twapeana zam~zam (zam, zam, zam)
huniishi ham (ham, ham, ham)

[chorus : whozu]
wanaona gere (mbona w~n~leta jealous)
w~n~leta wivu (mbona w~n~leta jealous)
na wivu utawauwa (ona w~n~leta jealous)
w~n~leta wivu (mbona w~n~leta jealous)
ah, wivu utawauwa
[verse 2 : alikiba]
wanavyosema ridhiki mafungu saba
aah, atuzidishie maulana
mi nasema, tuyazidishe mahaba
ooh, oh, kukuacha mwiko laana
wewe
we familia yangu wewe, ah
we mwanangu mwenyewe, ah~ah
mi siwezi ishi bila wеwe, ah
we mwanangu mwenyеwe, ah~ah
kitu nachoogopa kuwa mbali
nitawezaje hii hali, hii hali kiba

[pre~chorus : alikiba & whozu]
supu haipandi mama
nikikuudhi naomba samahani mama, haya we
figo zitafeli mama
pombe siziwezi utanikuta mochwari mama
wa kw~ngu ni mtam (mtam, mtam, mtam)
mambo bam~bam (bam, bam, bam)
twapeana zam~zam (zam, zam, zam)
huniishi ham (ham, ham, ham)

[chorus : alikiba & whozu]
wanaona gere (mbona w~n~leta jealous)
w~n~leta jealous (mbona w~n~leta jealous)
na wivu utawauwa (ona w~n~leta jealous)
w~n~leta wivu (ona w~n~leta jealous)
wanaona gere
[outro : whozu]
aah~aah~aah, aah~aah~aah
kung fu on the mix


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...