lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wangechi & scar mkadinali - chonjo

Loading...

[intro: scar mkadinali & w~ngechi]
yo, for real, for real
you already know
yo, for real, for real
w~ngechi

[refrain: scar mkadinali]
si huifanya bila shida (hahaha)
wanatupima pima
hii style ni, hii style ni—
yo, for real for real
hii style ni, hii style ni—
yo, yo, yo
[chorus: scar mkadinali]
si huifanya bila shida, we’ itisha mi ntalipa
wanatupima pima, mary, shaleen, shaniqwa
ju hii style ni chonjo, vibe na donjo
style ni chonjo, vibe na donjo, yo

[verse 1: scar mkadinali]
katika pilka pilka, mi’ nkashikwa
ati nachoma reefer ndani ya ndinga ni saa sita
wanatupima pima, shaleen na shaniqwa
ms’chana huta~marryka ukipendanga chrome mzinga
yo, ndani ya benzo, na mangwai size ya ma candle
ni ma line (sniff sniff), ma yayo
hatubongi si hupenda vitendo
ilikuwa ngori rudi na mapengo
si~si ulikatazwaga na mapero
scar mkadinali fuata hio handle
wameshakubali wanaonyesha upendo
hater kaa mbali, unanyesha leo
yo, kila mahali niki~come through wanajuanga naifanya for real
kwenye mic si hufanya one, two, lazima watarada my g
nina bro anaishingi majuu nikisota ye’ hucheza na bill
nina~grow ninakuwa mindful, huwezangi kucheza na—

[chorus: scar mkadinali & ]
si huifanya bila shida, we’ itisha mi ntalipa
wanatupima pima, mary, shaleen, shaniqwa

si huifanya bila shida, we’ itisha mi ntalipa
wanatupima pima, mary, shaleen, shaniqwa

[verse 2: w~ngechi]
yeah, wanatupima pima, brayo, kevo, peter
niko ndani ya bimmer, rada nasafisha
walidhani nitazima, hii ni mzinga ya sita
venye naririma, neighbours hulalamika
juu vibe inadonjo (yeah), niko mamojo (woo)
wacha uongo (yeah), hii track ni moto
venye mi hupita pita, show utalipa mita
niko na ma vice ka liquor, shhh, mi ntaanikwa (yeah, yeah)
pull up with my clique, say my girls and my boys
gari zinang’aa, zinakaa kama toys
tena kwenye speaker tuna~generate noise
seti kwenye glassi, jaza hio poison
hapa tuko on, tuko on
hapa tuko classy, hapa hakuna cons
hapa ni ma~vibes, zimanga ma~phones
hapa ni ma~vibes, hapa ni ku~nice

[chorus: scar mkadinali & ]
si huifanya bila shida, we’ itisha mi ntalipa
wanatupima pima, mary, shaleen, shaniqwa

si huifanya bila shida, we’ itisha mi ntalipa
wanatupima pima, mary, shaleen, shaniqwa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...