lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wakuu music - nyongi

Loading...

huh huh, cosmic beats
namba nane, ni wakuu huh
kwa mara ingine haha
(cosmic beats)

ati “sssh ssh” inanichoma lakini situpi
ati “sssh ssh” inanichoma lakini sikupi
ati “sssh ssh” mi huichoma nikiwa juu ya nduthi adi
“sssh ssh” tukiji “sssh ssh” na mamorio wa mi

sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

uko na ngwai nataka kitu naseti
mi si ka mwai nasaka uhunye tuseti
mi sikatai nataka kukuna seti
usiniseti wewe wacha nisake pedi

nakuja floss nataka rasa si feki
sitaki poko leta pyenga nikaseti
jeshi imebonda kwa choche makesi
jeshi washakula kuku wamebleki
messi anachenga kwa choche hata habebi
thegi amesanya kapyenga ka medi
huwezi mbona unakula nyongi za fegi
shika kangwai ukapitishe ikiwa nyongi

ati “sssh ssh” inanichoma lakini situpi
ati “sssh ssh” inanichoma lakini sikupi
ati “sssh ssh” mi huichoma nikiwa juu ya nduthi adi
“sssh ssh” tukiji “sssh ssh” na mamorio wa mi

sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

[zzero]
h~llo tt wanandapanyo titi
si mi huskianga fiti nikikuguza huto tu titi
nice and dem pretty, lion not chichi
huh na labеl man nimedunga suti

girl you nice na kiswahili si uko fiti
nikuite mary janе ju vile umenicarry
apetite part ya kufinya ugali
si ukae nami basi uone tukienda mbali
zzero utanikuta na magaldem
na bado utanikuta juu ya kibomb dem
na ka biz ni ya umonkey sinyongi
world boss in the building ni kubaya

ati “sssh ssh” inanichoma lakini situpi
ati “sssh ssh” inanichoma lakini sikupi
ati “sssh ssh” mi huichoma nikiwa juu ya nduthi adi
“sssh ssh” tukiji “sssh ssh” na mamorio wa mi

sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

why morning after nimekula ki cancer
zimenishika mpaka naskia nimegeuka ki dancer
niende baze nipate shaba wametulia ki bouncer
uje unipe moja kubwa alafu niseti na rasta

nipate nimejiseti niko “ssh ssh”
kipyenga kidogo lakini ni ki “ssh ssh”
hio ndo hutumaga ulale kamiti
ju unaskia ukidim bado unaski uki “sssh”
alafu naskia kama ni trickster
ukinisqueeze unabaki kunimeet
nabonga ni kama ni greek na
ukinichew utabaki ukinispit

napata madenge ka vitz
ju ya vile nakuw~nga biashara inakuaga ni cheap
na kwenye marapper ka mi
na wakiniita battle kw~ngu itakuwa ni feast

ati “sssh ssh” inanichoma lakini situpi
ati “sssh ssh” inanichoma lakini sikupi
ati “sssh ssh” mi huichoma nikiwa juu ya nduthi adi
“sssh ssh” tukiji “sssh ssh” na mamorio wa mi

sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
sijai kula kitu tamu ka nyongi
na ka kuna kitu unawezalinganisha nayo kigongi

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...