lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wakadinali - starehe ndani ya roho

Loading...

we ndo unanipa starehe
starehe ndani ya roho
i surrender my love
sujiu daizo la tarehe
starehe ndani ya roho
babe i surrender my love
we ndo uninipa starehe
starehe ndani ya roho
i surrender my love
sijui daizo la tarehe
starehe ndani ya roho
babe i surrender my love
ah, mama amenikanya mi nisiende huku
msichana amenifanya nile sembe tupu
strange, nashindwa who you even talk to
na namba sijachangе bado 0~7~2~2
ashanisoma mbuku nashanga kuniona huku
na anajua kutuliza nafaa tu kunichoma nduku
ni mras, na ni msupu na plus, hanishuku
na tukiwa free, anatembea maskani tupu (hehе)
tunaeza mingle mambo new pia
but sitakushare kama single yangu mupya
na mi huskia vile msichana huwa anateta
swali moja, babyaby utawezana na love ya gangster?
wanipa starehe aah, siezi chini baby mi siezi kang’ethia
anasema ndo awa mine nsake hela
so mi na grind kakushikisha ka ngeta
we ndo unanipa starehe
starehe ndani ya roho
i surrender my love
sijui daizo la tarehe
starehe ndani ya roho
babe i surrender my love
venye unanipa starehe
starehe ndani ya roho
i surrender my love
sijui daizo la tarehe
starehe ndani ya roho
babe i surrender my love
instead ya pingu la maisha kanifunga kamba
machakos kamdulis na mazuri but kinyalukao
rierogo manduli mtoto mzuri ashabadili
kufurisha tako santuri
hapa risto yaku make trend labda huvako mwavuli
hata muoshe mkono kwa bidii hapa bado hamkuli
kanivisha pingu la maisha kwa kuniita mbakaji w~ngu
hunilisha sembe magware ntaitaje bacadi harmful
kisha sk~ma avocado animange igeuke kafi
si shawry ang’are jam suit jiji tukale junk food
simkali na ni mbaya but si mwenye starehe chafu
si fame hard to get lakini ye ni mrui na steam
uezi mpandisha eti dhuthi na mathree za ruiru
na eastleigh
sniker wedge ya gucci ikona ink ya luminous pink
she’s a devil like that, rudi plus gigs
ka si posh ya collo, ni matusi kama crew ya nyashik
we ndo uninipa starehe
starehe ndani ya roho
i surrender my love
sijui daizo la tarehe
starehe ndani ya roho
babe i surrender my love
we ndo uninipa starehe hee
starehe ndani ya roho
surrender my love
sijui daizo la tarehe
starehe ndani ya roho
babe i surrender my love
we ndo unanipa starehe
starehe ndani ya roho
i surrender my love
sijui daizo la tarehe
starehe ndani ya roho
babe i surrender my love
we ndo unanipa
starehe heee
starehe ndani ya roho
surrender my love
sijui daizo la tarehe
starehe na roho
babe i surrender my love


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...