lirik lagu wakadinali - rumours
eyo!! yo! yo! yo!!
haukuskia rumours haukuskia rumours
muthurwa kuna chargie alinyuria
haukuskia rumours haukuskia rumours
afande apo nyuma pia alichaiwa mchuma
haukuskia rumours haukuskia rumours
pesa ya covid hao watiaji auskii wamekula
haukuskia rumours haukuskia rumours
dera ya shawre ndo imetuma mw~ngi akatumwa
substance abuse 24hrs juu ya curfew
tumechrome ndani ya boot ya whip ya mdabus
tuko lay(d) back tukiskia akina taabu
god aitwe god jo kidogo tuingie mbaru
kila mtu anapiga show live sai ig
sue who? tuko nairobi izo pelekea yg
ni gwaash flani na nywele sh~ggy it wasn’t me
me nlipitia kwenu mkafail ku acknowledge rabii
nabii tangu sixteen, 16s kwa beat
kwa chief anaku p3 kwa ivo anaku peace
kwa street usijoke na si unaeza bleed
tuko d apo reli mowlem ya chini
tunaichimbianga auskii adi mpaka kwa filter
rende ya bilaa but we tutakuingia bicham
mdenge mfisa ..mahari nililipa
sai naikinda n’gat kitu niliiwai point tisa
haukuskia rumours haukuskia rumours
muthurwa kuna chargie alinyuria
haukuskia rumours haukuskia rumours
afande apo nyuma pia alichaiwa mchuma
haukuskia rumours haukuskia rumours
pеsa ya covid hao watiaji auskii wamekula
haukuskia rumours haukuskia rumours
dera ya shawre ndo imеtuma mw~ngi akatumwa
tuko na joto so man maintain total
mangoto kwa mkono ka flexie uto tutoto
alienda courtko juu ya ngori ndogoo
master wa keys auskii alibambwa kwa kotkot
moshi kwa nasal, ati sina moral
na nyi mnakulana ….ati oral
sosi icho kolo, pasishia mukuru
atii, aache kuwaza na apunguze usoroo
freestyler aliganda kwa battle flani ya ondu
hangover k~mwaora unaezadhani gondu
vijana wapewe wera na peace ireign umo 2
roba alienda ahera juu ya kusn~tch note 2
marapa ka si sijui pia tutaingia cotu
atuoni, juu ka farmworker ~n~lipw~nga soo tu
na francis atuoli, ye udhani watu wako showroom
na roho juu nauliza kwani
doo ya wasanii haitokii?
haukuskia rumours haukuskia rumours
muthurwa kuna chargie alinyuria
haukuskia rumours haukuskia rumours
afande apo nyuma pia alichaiwa mchuma
haukuskia rumours haukuskia rumours
pesa ya covid hao watiaji auskii wamekula
haukuskia rumours haukuskia rumours
dera ya shawre ndo imetuma mw~ngi akatumwa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu phytzroy - numb to the world!
- lirik lagu broke9 - end of our way
- lirik lagu ael-アエル- (jpn) - starry night
- lirik lagu мы (we) - молодость (molodost`)
- lirik lagu 44neverluv - funeral 4 us
- lirik lagu lil divi - ton of love
- lirik lagu bom b (vn) - anh không làm gì
- lirik lagu loyal wife - light off
- lirik lagu ron bielecki - tornado
- lirik lagu dj key - no go!