lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wakadinali - rong cypher 3.0

Loading...

[intro]
glad i don’t need you
big beater

yoh yoh yo
huku kukiachana huko kuna marunner
ukibanja unaknandwa tunakuacha umeganda
na mi si ganster juu niko na rasta
hii ni dini ya mahastra ikishikana na msambwa
tuko na magoons for hire na ma set supplier
na wako undercover ukimess unakang’wa
nakuchanua tu prior si ni watu wa matires
nawaka kwa nganya tukiskia more fire

after paperpunch na stapler kwa payslip ohangla cheza
ka si pesapap m~pesa m~shwari na band la pesa
ukichekesha bank ni ka kurushiwa hadi na burglar pesa
utakesha ulipwe peanut compe ya blueband na zesta
hivo venye mnakuja kuja utajua a computer ndio future
jaza bet mambo ya online ah, unajiumanga kucha
gikosh mamtush luk fisa n~z~zungusha
hapa shukran wanarudisha baada ya jicho nyanya shuksha

mnaeza tupa, mi ndio the realest washai skia
professor matire hao wеngine ma first year
komesha mafeelings na ukеti chini nikusetie maforeign saa zingine mashash pia
msupa ile packe umenikula usiniache ndaku~~ mi si alfred mutua
kwanza ukinileteaga nonsense nkt huyo chali yako ndio anachorwaga na nacet kwa sura
you better check into my series, i’m not good with this internet business
yoh, nameditate nikiwa matire, naget mood ya kuspit hizi mafeelings
waizi wa kaunda watakuzunguka hapo raunda
hio ndio system kila youth anataka kukafunga
ubaya tuko masteam ni ka si huishi sauna
hatuezi teta lakini inatusaidianga kutunga
jaza bet labda unaeza manga fresh
nalipia session kwa aress alafu murder case
unaskia ka ni kuenda si huenda na beat
lakini sahii tuko area kama length and width
kazi inakuanga tu kutema na kuuza ma cd
juu tungeumeria ka tungebaki kwa streets

bismillahi, life inaenda fiti siku hizi wako like “these ni drugs”
we push kushinda 24th deki na christ jesus
no face no case maana i’m like ninja (yo yo yoh)
hii row ni ya hero, hero huwin na coke zero
mroro j~po kuro roro anafanya ile kitu
acha niwasho waziwazi huu mwezi usitembee vicrazy usiku masaa za wezi
kuzipushingi chini ya mwezi mwisho wa mwezi
jua tu waziwazi mi sijawai kulishangwa na mzazi

no fear i’m a proud luopean wanasema wanapenda ile sound nawapea
wasupa wetu hapa kwa ground tunawashare
usijam juu ya handout nilisahau kuwapea
nikiwaga far mahn ni rahisi kunitusi coz dem boy a pagan,pedophile,p~ssy
siku za kahawa na pishori mi hutoka makarao ata kama mi sina ngori
so baby if you love me you show me, niliambia broski nitakua hapo if you call me
na hizo cypher zote mmetoa, sh~t zinataste ka matoke imepoa
magoha anafanya study ikue ka battle of a doer
tuna maradona hii kenya but wanangoja ma donor
ukikam vibaya unaponwa huku majanavi wagonjwa manabii kwa corner tuko posted tukiwasoma
utalala mteja na hio tenje ilipe keja mateja wako baze wanasere na mapeng
mapesa zinaflow juu ya ku do sh~t naepnda niite skunkman sniper nikiku zoomia kwa penthouse
nainyongea kwa statehouse wananiitanga stepper tukiroam no pressure mi dosh na tepla
naongea kuhusu paper huyo ndeng’a atakutepa mandom ketepa na ~~~~ kwa meza

kulenga street mbrrcha ndani ya nare ni kipyenga
usipokata keki fiti hapa horror ndio cinema
contemplating tu vile nitawatoka wakirenga
jaza bet aha miti kinde kwa kinena (yoooh)
they said never express to a flower
nishai uziw~nga marikiti nikapeleka ghetto malaya
nevertheless naeza kang’wa, hujui hizi streets mi ni effortless gangsta
ni kama washangajiua darkness pon dem wanajishaua
straight on the grave tunawabebeanga maua
nagasaki usiku sacco matwana culture unajua(yo yo yoh)
hivo venye unajionanga umeunga hio sasa ni umama
umeshinda manguna w~ngu kama watano haga
biz ni zotezote mac munga n~z~charaza
mdem ali insist wizzo manze hapa ata hana shida mwaga

yoh just another day for us ya kuririma at the same time niko works
cheki schoolboy relax, high noon nairobi na by two niko naks
ku pull up na magroupie sina entourage tuliingia na madoubies kwa event ya baaz
hizi mashida ata sizifeel tulichoma ndom kwa field siku za visiting
waliniangusha sitaji majina si tukipurura ma g’s huzima
niko kempinski juu ya chips na liver and i still like to eat the sardines for dinner(weeh)
nilidiscuss na ye huniskia tu next time jo unabanja ulizia tangut
tunaishingi kupangwa just see us through kuna promoter alimangwa this year tu
na navigate day na vigeti eastleigh mapinji ni wa vibeti hadi niko na betty,nadia na kina mary
ni mristi ndio hio paybill mwenyekiti ka museveni

hataki achana na yeye machoki na lele
itoka ame rent tutatoka na ma dent
rhyme na jazabet
line napiga neat bro ni mnyama holla vet(mmh) ye hufanyaga yes
napiga moshi na kizangila
hizi maufala si hupost ndio zinalipa
nairobi mpaka coast nimekubalika
na of course tuko mbali far


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...