lirik lagu wakadinali - opps
for real
yeah yeah yeah yeah
yeah yeah yeah
kwa benzo mdogo mdogo
kenya imejaza mapothhole
naenda kuiwasha kidogo
usoro ni mingi napitia maorosho
ndo wifey ametoka kwa soko
amekuja na stoko
wako ameshinda kwa social
na uko msoto siku hizi ni poko
hater anashikwa kilocal
cha ug kibongo
nilimpata akitoa lock mairungi kinongwe
ngeta anapigwa mangoto
huna pesa na umeshinda kwa local
unasumbua watoto wadogo
ulifanya karibu nipigie mapopo
zii zogo ni zogo kuja umworoto
siku hizi wanasema ni portmore
nimekula kokoto kushinda msoto
magoro zinapigwa makoto
baby jichunge hii kitu ni nono
isitume niruke libobo
naseti kikolo zifike kwa bongo
alafu nadunga ya ngolo aaah
kwanza umekuja na juja mbonoko kuteka ngoko
mbleina wa ig na mamboto za oppo
nikuk~mbuka ilikuw~nga ni ndoto
manze mi hujieka lonso
vijana wa yolo there is no tomorrow
mrenga tunaiweka off road
baada ya ngasha paka sabuni sinaga lotion
inawawasha nina kiburi sina emotions
msupa kigoco lakini vile ameng’ang’ana na ngoso
napiga mhuri vizuri hii kitu ni bombo
kwa kioo nacheki livondo
amebeba mang’ondo kwa kiondo
kidosho amecheki rong rende ndio logo
mpaka yaani joto ikadonjo
kabla ya jaba na jojo
lazma nichafuange chapo na dondo
tumbler najaza na kongo
nawasha ganja nitoe uso mmh
hapa utapewa masomo
we si baraka mama yako ni muongo
ita mroro weka ndombolo before wafike nimepika raw
kiboko yangu si normal
oh no
anaitaka na eti anaitaka raw
ati alale na aende tomorrow
pole baby kw~ngu huezi doz
hapa utapewa kisogo
mbona mbona unapendanga maimbo
alafu unakuja na usoro
na kelele mingi ni kama ding’oing’o
nazozanga king~size solo
thika road hapo mbele ya ruiru
mr riz mangwai you don’t know
na nitaendelea hivo hivo
kwa benzo mdogo mdogo
kenya imejaza mapothhole
naenda kuiwasha kidogo
usoro ni mingi napitia maorosho
ndo wifey ametoka kwa soko amekuja na stoko
wako ameshinda kwa social
na uko msoto siku hizi ni poko
hater anashikwa kilocal
cha ug kibongo
nilimpata akitoa lock mairungi kinongwe
ngeta anapigwa mangoto
huna pesa na umeshinda kwa local
unasumbua watoto wadogo
ulifanya karibu nipigie mapopo
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu 2ke & tren - trollge phonk
- lirik lagu ely waves - forever & ever
- lirik lagu teenear - ride
- lirik lagu yarcoik - через время (through time)
- lirik lagu d3ku` - фиолина
- lirik lagu dodô diplomata - reggaeton parabéns pra você
- lirik lagu horrormovies - shattered hearts screaming
- lirik lagu lumin.a8 - ballin'
- lirik lagu metalik - диско (disco)
- lirik lagu killahronh - fbook