lirik lagu wakadinali - mrenga
uuuuh, yeah yeah yeah
kama si benzo, mrenga ni bima
kama si benzo(yeah yeah)
kama si benzo(yeah yeah)
mrenga ni bima(skrrt)
akili hailali, akili hailali
kwani iko nini?(yeah yeah)
kama si benzo(skrrt)
mrenga ni bima
east tuko down, akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
nairobi finesse akili hailali
akili hailali(akili hailali)
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
tuko east tuko down na akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
akili hailali, akili hailali
chapa tizi buda ni ka ni fainali
washa jiji unga ka ni halali
na ikibidi uber ka sina rari(yeah yeah)
hii pesa ninayo ni ya mziki
juu ya street hainitoshi
nasepa karao, masnitch
sijitambulishi na mikosi
style mbichi sijai fosi
life in crime sisi na itos
mblein jiji tunaikoki
gang gang chain hubidi na floss
msupa sly ananiatuti aha
nish~gamsuka naachia mbogi
design ka haijipi naiboza
walai sifaidiki na hii topic
yeah mabang’a wako paid
lawama kwa game hii jiji ni yetu
kuna fala alinifanya nijam
akaniomba msamaha na mi si yesu
bima ikibidi lakini
nazozanga benz mbili na ni rental
nina msupa hupеnda vitu ndechu
lakini ni ya gang ni yetu
kama si benzo(yеah yeah)
mrenga ni bima(skrrt)
akili hailali, akili hailali
kwani iko nini?(yeah yeah)
kama si benzo(skrrt)
mrenga ni bima
east tuko down, akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
nairobi finesse akili hailali
akili hailali(akili hailali)
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
tuko east tuko down na akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
jamaa flani juzi alitense
venye rent ilitry k~mpiga maukapi
nilimnyonga saa hiyo niko mabangi
mnjoro akafaint pindi tu alimnusia armpit
na vile nilikwa nimempigia kambi
f~ck it, manze nafeel nimewaste hiyo dhambi
police oncoming niko like f~ck it
i just need some more few seconds
niko mahali siwezi kubali kutoka bila anything
juzi nilikalia mbao nikashuta
nimetoka prosecutor mtanik~mbuka
niliwapora mamilioni wakanishika nikazisunda
sahii imebaki ni wao kunisuka
no faces kama warges
ndani ya balaa clover niko missing
straight deep undercover
hatupay attention hizo details
hatuworry about hizo faba za kushikwa
na mama mzazi hajadishi
maana ~~ ka wiki jana ya black
najua kuna siku nitajizama
mi ni racist najulikana
but f~ck it my dream
mwage ni ki german
so bro jua
kama si benzo(yeah yeah)
mrenga ni bima(skrrt)
akili hailali, akili hailali
kwani iko nini?(yeah yeah)
kama si benzo(skrrt)
mrenga ni bima
east tuko down, akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
nairobi finesse akili hailali
akili hailali(akili hailali)
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
tuko east tuko down na akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
nairobi finesse akili hailali
akili hailali(akili hailali)
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
tuko east tuko down na akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
friendzone kwenye benzo
kachimamo but ni kama kananyesha
nairobi finesse, mboka ni mbex
niliskia mboka ni mbex
friendzone kwenye benzo
kachimamo but ni kama kananyesha
nairobi finesse, mboka ni mbex
niliskia mboka ni mbex
kama si hii mziki
ningekuwa jiji nikipona masela
ambia judge akule mafi
mpaka siku tutaonana tena
otherwise form ni kuchoma mavela
kuchoma rada na kuchora vile
nitapata kiki juu nilisikia siku hizi
swagga ni kuzoza na~~~
kama si benzo(yeah yeah)
mrenga ni bima(skrrt)
akili hailali, akili hailali
kwani iko nini?(yeah yeah)
kama si benzo(skrrt)
mrenga ni bima
east tuko down, akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
nairobi finesse akili hailali
akili hailali(akili hailali)
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
tuko east tuko down na akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
kama si benzo(yeah yeah)
mrenga ni bima(skrrt)
akili hailali, akili hailali
kwani iko nini?(yeah yeah)
kama si benzo(skrrt)
mrenga ni bima
east tuko down, akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
nairobi finesse akili hailali
akili hailali(akili hailali)
kama si benzo(kama si benzo)
mrenga ni bima(mrenga ni bima)
tuko east tuko down na akili hailali
kwani iko nini? kwani iko nini?
kama si benzo!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu erra - vanish canvas
- lirik lagu frodus - bussiness creep
- lirik lagu aurthohin - chaite paro 3 (you have to bujhte hobe)
- lirik lagu dante stackz - trap pack
- lirik lagu the garages - lose you (live @ heckdang)
- lirik lagu gs, khea, kyke, alexis chaires & smoky - loco
- lirik lagu thandiswa mazwai - nizalwa ngobani? (live)
- lirik lagu vivian fernandez - i won't give up
- lirik lagu ruffiø - burn the witch
- lirik lagu мегамозг (megamozg) - новое тату (new tattoo)