lirik lagu wakadinali - morio anzenza
yeah
reputation ni same gang ingemblain ningekuja na ndeng’a
i can’t believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
hii ni ya day ones pekee morio anzenza
madenge madingo, plus mapinji wa mukuru kwa njenga
reputation ni same gang ingemblain ningekuja na ndeng’a
i can’t believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
madenge madingo, plus mapinji wa mukuru kwa njenga
munga
mi huzoza mamzinga, zile kali kali kama shuzi za simba
mnabonga mtanishika shati kwa keja ya mabati, mmejificha wapi?
mi huw-nga na dinga, lakini bado mi huenda rotejo huko mtindwa
huezi nitishia life, mi nilikuwa na du street na patipati
nyi mkivishwa nappy
mi ni rong rende boy machachari, say it to my face unabeef kina nani?
oh my gosh samahani, mitishamba ndio mboga plus ugali flani
hizi side miracle hazifanyikagi, msee aliniroga aliniacha ka amenilaani
rap game haitaki chali, na usishangae mbona, ju ni mimi nimei-marry
lay down flat, stay on your lane incase haujajuwa utapepetwa
serial k!ller hatu-fightingi terror, in short tume upgrade weapon
fake -ss n-gg-s, back biting haters, kazi ni ku-update status
wivu juu ni si paper chasers kwa kila bus station, bs hadi afya centre
mi sichezi wazeiya, mi ukinicross utagenya
kuna dem anashinda akiteta, akikuja asipate mbogi kwa keja
fine gyal lakini huwezi sema, pia yeye ni jeshi ya kusumbua feds in kenya
mayengs hunipenda, shori denga anataka kuchukua selfie tena
sisi zetu ni hustle, acha tukuwachie we king castle
managerr alirudishwa home ju promoter alidai k-meet doshi in person
niko kuber na mandom, eeh pale instagram i wrote this caption
munga mi hutembea na machrome ata nisipo-act utavuliwa na kovi vihasho
scar
siendi, siendi, waambie watafute plan b
ndio nikuje watume kwa pay bill, nyi mapromoter siwapendi
shughli kubwa huku spending, hakuna kitu fupi ka wikendi
ongea bas, what you can’t be
appearance, 10gs
nikizoza hawapendi, hii ni ya gikomba na ni fendi
huku ni kubaya nimeona mengi, mpaka manugu malaya washenzi
i never knew they will play me, namaanisha kwa radio na telly eey
revenue looking crazy, nitakodesha ka benzo na bently
you talk much hautendi, youth fund iko pending
you f-ck n-gg-s just can’t be serious, bullsh-ts trending eey
these old n-gg-s can’t bear me, these new n-gg-s ain’t family aah
these old n-gg-s can’t bear me, these new n-gg-s ain’t family
nakuw-nga roho, on the low but naeza burn na boy
kidogo nikang’e banga wine, nikiwa mtoi nilikuwa na gun za toy
dyana cods
obe babe (yeah)
obe babe si kidogo ni (mmh)
ka ni mbali mi nafika, sijali na hali mi mkali niko ndani
ndani kamali nafika bei bila chali, nafika bei till diani
mtoto fulani bei kali lakini rhyme flow fiti ka yeezy
how many times imma tell you this, i need a n-gg- like kanyari
he making that money, he making a mummy go low ka chasing a kulo
feeling da lingo feeling da brew (huh), the brewery bella rosa
cheki manzi bila ring, jegi fiti bila fake wanadai kunifeel
obe baba hii ni real, obe baba hii na k!ll aki ya nani na k!ll
if ulionaga kwa misitu panda miti bila kitu eey
listen ati ma slay ni wale wa obe baba bado mimi ndo ule wa shika hiyo ladha
taste fiti kama lager, haga seti kama ladha, fika hiyo bei
reputation ni same gang ingemblain ningekuja na ndeng’a
i can’t believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
madenge madingo, plus mapinji wa mukuru kwa njenga
reputation ni same gang ingemblain ningekuja na ndeng’a
i can’t believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
madenge madingo, plus mapinji wa mukuru kwa njenga
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu the mystic decade - taste
- lirik lagu mandy rich - molnen (feat. wilma saga)
- lirik lagu gancccl - эмигрант (emigrant)
- lirik lagu imaginasamba - pega pega
- lirik lagu sean kingston - peace of mind
- lirik lagu piero focaccia - portala in cantina
- lirik lagu justin townes earle - appalachian nightmare
- lirik lagu andy grammer - spotlight
- lirik lagu charles aznavour - de la môme à edith
- lirik lagu 2cheesemilkshake - magazine