lirik lagu wakadinali - mashetani
youths how de gwom za umashetani
ju how often tutafurahia serikali
youths how de gwom za umashetani
ju how often tutafurahia serikali
youths how de gwom za umashetani
ju how often tutafurahia serikali
youths how de gwom za umashetani
ju how often tutafurahia serikali
jacko kubwa na para natry tu kujificha
duff mpararo nilikuwa naswim ka mchina
mch~nku sisi mwitu politics
wanatuweka kwa crisis, tunacry sisi
ilikuwa ni situation, si unajua watu hawaelew~ngi
ilikuwa ni situation, si unajua watu hawaelew~ngi
ilikuwa ni situation, si unajua watu hawaelew~ngi
ilikuwa ni situation, si unajua watu hawaelew~ngi
ni situation
get your education to teach the others
si life huku ghetto hukuw~nga tu hazard
kuput food on the plate manze jo ni blunder
tunalive hand to mouth kama rasta na shada
sikudhani lazima ukuwe na muscle
ukitaka castle lazma uchape hustle
big up soldiеr man wake 24/7
365 ukivumilia njeve
siwеzi doz ka sijaskia risasi
huku kila siku tunaishi na mikosi
ati pinchez na steppa walichai maponyi
na maponyi ako wapi? hizo sides za doni
after kusota alinitoka right fast
but nikizishika ukinicall na divert
rap inaflow kwa damu so mi sidai class
na unaeza ni hire ka bado unadai verse
then nyi man~gga mnakam mki act draft
ukapi nikichekesha hairudi bila damu
alafu booth nikispit utadhani nimejam
mistari zimestick unaeza shikanisha na gum
die hard soldier mi siplan kureturn
ju vita ni illest na sina ma kwa gun
then mi huzipurura mashash mi huziburn
plus mi hupurura na sijawai tukanwa na fan
ilikuwa ni situation, si unajua watu hawaelew~ngi
ilikuwa ni situation, si unajua watu hawaelew~ngi
ni situation
youths how de gwom za umashetani
ju how often tutafurahia serikali
youths how de gwom za umashetani
ju how often tutafurahia serikali
youths how de gwom za umashetani
ju how often tutafurahia serikali
youths how de gwom za umashetaniju how often tutafurahia serikali
cheki gava imetarore
omo ni kidogo mtaani w~n~larore
hakuna waba, wanaijin watoto wazee wanadiore
mayouth mtaani ju ya mawe, hanaku wera wamebomore
mca amehepa ametrrr amejificha ameponeree
wanafanya napiga mboka chafu ndio nisurvive
aki walai wanadigi moja naglind hio si fine
hio si ikae yeah yeah
boom boom, mr boom boom…
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu brejkish - känner tårar längst kinden
- lirik lagu 98° - run rudolph run
- lirik lagu anna wydra - the absurdity of being
- lirik lagu laura marling, mike lindsay & lump - gamma ray
- lirik lagu мила шмид (mila shmid) - не молчи (say something)
- lirik lagu robotspöket - eldstartare
- lirik lagu ruben aguiar - medley: gago / sara / graças a deus
- lirik lagu little mix - change your life (bimbo jones radio edit)
- lirik lagu michael mott - in the light
- lirik lagu full tac - dumptruck