lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wakadinali - kim jong un

Loading...

[intro]
alex vice
afrvka

[hook: domani munga]
dunga agents mtaani, youts waliingiza round umo 2
kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug
umeskia ripoti ya dci, bro amekuwa kim jong un
mpini, ndeng’a ni impromptu
dunga agents mtaani (dunga), youts waliingiza round umo 2 (ingiza)
kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug
umeskia ripoti ya dci, bro amekuwa kim jong un (bro, bro)
mpini, ndeng’a ni impromptu
[verse 1: domani munga]
ndo ujue snitch hana haki kutathoka
morio alificha white ju ni nyoka
hater, yard kwao saa sita kupunguza hasira mi humkuta
yuji~find ngware kwa mrota huyo mkora
na ndio mahali usiku alingorota
riswa, walikam na nguvu za giza wakaokotwa
wakaita mungu na jesus waliokoka
wasenge walibeba mawe kwa fight wakatokowa, wallet kwa toja
ma acer si hukula rwabe rwabe, walihema bribe tu na mi nikatoboka
manze si mungu ni wa maajab, hio kesi ilikuwa blunder na brathe nikamonchoka
masenke walihepa zabe, hessy akashanda boyz hakukuwa mboka
za dosh na ma emoji “oh gosh”
na ni vile yunikalia kwa mboto, azziad nasenya
nashuku hapa lazma ntagenya
nyonyo zimеsimama dashboard plus kuna picha nlitumia huyo manzi na ni senye
wasee wa kuleta upuzi waеnde nje, saii ntawaripoti hizo biashara ziko
saga za mtaa juu ya gorofa, mi huziona full resolution hd
secret agent m.i 6 warudi tuition
mi huzimo tonji ka niko rikko, “sema” nilipata missed call

[hook: domani munga]
dunga agents mtaani, youts waliingiza round umo 2
kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug
umeskia ripoti ya dci, bro amekuwa kim jong un
mpini, ndeng’a ni impromptu
dunga agents mtaani (dunga), youts waliingiza round umo 2 (ingiza)
kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug
umeskia ripoti ya dci, bro amekuwa kim jong un (bro, bro)
mpini, ndeng’a ni impromptu
[verse 2: sewersydaa mkadinali]
chogi haelewi venye hio squad iliingia na kuna bomb detector
waliotea murder wakasafisha kama nuclear wakakula vector
saii kuna order imefika, shoot to k!ll ni wa armed and dangerous
according to raiyaa, body za gava na intel ya federal
songa joh morio, kuna exchange hio pande ya nyando
cop anahold moto anaface madingo walikulana nandos, yo
saii uko kwa list ya tano na kwa mdomo za wathii ka saigon
yout hucheza flat nayo, tunakuona hadi kwa widows uploads
crime si rahisi joh, bro ako na ndeng’a na hajui kuic~ck
ulipatiwa fiti freezy, k~mbe joh haunanga kijiko
uliingizwa baridi na cops kama maiti imelazwa kwa njifri
hauskii sh~t, umekuwa binti ya z anto kiziwi
ten times uliambiwa na folks, ona sa unaobey gravity force
mbeina si ukapige report, nangoja kukuskia kwa “gidi na ghost”
avoid huyo cop ka unaweza, kwanza ako idol na hanaku form
nilifanya dem yake nikamgeuza wife, saii ako kwa bed of roses

[hook: domani munga]
dunga agents mtaani, youts waliingiza round umo 2
kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug
umeskia ripoti ya dci, bro amekuwa kim jong un
mpini, ndeng’a ni impromptu
dunga agents mtaani (dunga), youts waliingiza round umo 2 (ingiza)
kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug
umeskia ripoti ya dci, bro amekuwa kim jong un (bro, bro)
mpini, ndeng’a ni impromptu (ndeng’a)

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...