lirik lagu wakadinali - it's true
niliondoko wakadai niliomoka
yoh yoh yoh
but its true, hawa ma fool hawak~mbuki
nikilala kwa mrota
ukiwa booze utalala kwa mrota
niliondoka wakadai niliomoka
but its true, hawa mafool hawak~mbuki
nikilala kwa mrota
ukiwa booze utalala kwa mrota
ukiwa booze utalala kwa mrota
ukiwa washwash ka krotus
najua hatuwezi sota
mosh mosh pff pff puff tu moja
hata potus huskii hudunga floater
hi iende hao warazi mapromoter
napenda fashion lakini zaidi cash
tunapiga tapo huwezi ona tuki sn~tch
tunaingia prado tukidondoka mat
infact, si ndio standard ya rap
wako lazy hawaezi hata kutolea mra
kama ekis waki crack down crack
hao ma rasist wanafaa ‘jue black don’t crack
tuko memphis tukipass out shush
niliondoko wakadai niliomoka
(yoh yoh yoh)
but its true, hawa mafool
hawak~mbuki nikilala kwa mrota
ukiwa booze utalala kwa mrota
niliondoka wakadai niliomoka
but its true hawa mafool
hawak~mbuki nikilala kwa mrota
ukiwa booze utalala kwa mrota
huku si wadaf sana adi tunasweat oil
watu hawajamanga ndio maana wanatoil
makanga alikangwa ju alikinia coins
hao mafala wanadhani tuko enzi za moi
yoh, we ni super hero unawork supermarket
niko na arif anapendanga tu ma ratchet
sai ako solo kwa hosi ma crutches
no crashes, no wife, no girlfriend but heartbreaks
pasi alitaka niende sunday k~mwambia asanti
past east mchana anavaa kama ashanti
ekeni doh ka just struggle republic
nchi imejaa watalii na haa haina maji
nilindoka wakadai niliomoka
(yoh yoh yoh)
but its true, hawa mafool
hawak~mbuki nikala kwa mrota
niliondoka wakadai niliomoka
but its true hawa mafool
hawak~mbuki nikilala kwa mrota
ukiwa booze utalala kwa mrota
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu koinoi thnitoi - βαρέθηκα (varethika)
- lirik lagu full deck - i think you're dead
- lirik lagu tops - sunday morning
- lirik lagu creed b good - alien girl
- lirik lagu the truth (uk 1960's) - fly away bird
- lirik lagu noah kahan - the great divide (live from fenway park)
- lirik lagu shadowraze - heavy sniper
- lirik lagu dancing plague - cold fire
- lirik lagu get well, kid - lifetime
- lirik lagu deebaby & kevin gates - millions for my pain