lirik lagu wakadinali - geri inengi
(afvrika!)
cheki fala amekam na amezubaa
na anacheki eti subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
cheki fala amekam na amezubaa
na anacheki eti subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
alikam na kinini? kiturr…du!
kam na kinini? kibugdu..kuboom!
kam na kinini? ki shss! sssh!
ki hmm hmm! ki haa! haa!
alikam na kinini? kiturr…du!
kam na kinini? kibugdu..kuboom!
kam na kinini? ki shss! sssh!
ki hmm hmm! ki haa! haa!
kibugdu~gdu my guy hii si toy
ziwa hurush na mi najienjoy
tuliwabumbrush h kiamaiko
buruklyn na mi si boyz
sina jongo sina form sina cheda
bila mbesha still machaji walichuna
ngeus una matress kwako sema form
munga mjinga niko zone
past curfew magiza niko biz
smaddy tingz alikujia magiz giz
i’m sorry ilidim, am sorry nimediiiim
i’m sorry ilidim, am sorry imedim
am sorry ah ah aiii
subaru inakam na mambaru wamekrome
zaidi ya mzinga na zile vitu wrong
munga, sirbwoy hepa chuom na imepong
digitali jaba kali shikisha na dosh
maisha posh na maombre wa pale ni ka nankosh
taxin na magego za ogoro
zinawaka shinda torch za magwoch
idhaa ni mbaya lola mbota, lola watch
yeah yeah
kwa hii darasa mi ndio teacher mi ndio coach
zimewaka zimeliet zimemwoch
mbara ya gath~sh~, hatuna kash~sh~
maybe tukuthiokore na tukufanyage patient
boom boom, yeah yeah yeah yeah, boom!
cheki fala amekam na amezubaa
na anacheki eti subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
cheki fala amekam na amezubaa
na anacheki eti subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
alikam na kinini? kiturr…du!
kam na kinini? kibugdu..kuboom!
kam na kinini? ki shss! sssh!
ki hmm hmm! ki haa! haa!
alikam na kinini? kiturr…du!
kam na kinini? kibugdu..kuboom!
kam na kinini? ki shss! sssh!
ki hmm hmm! ki haa! haa!
mzee hushika za kiwhiteboy
akiwa maduya riomo na c~ck toy
hicho kidiura isikufanye uingie kwa soil
bro na kidurag hudungwa na rock boy
boy hatuitishi ruhusa kuguza
tunaishi nchi rahisi hutundura
na ukisnitch juu ya clique unasundwa
shock delete unakam kuchunguza, umbwa!
c~ck de ting ka umekam kutunyuria
finger imekwama kwa trigger unabuya
usikam ukiwa steam ka hutaki kupanguzwa
ni genje njege walikam kuwatuma
uh alikam na kidududum~dum
kama huamini unaeza google~dum
saa hizo jaba ni maini na kindukulu
walifanya zote zishuke chini pungulu~pu!
ati scarde amechange? haha, ati scarde amechange..
kwani unaexpect nini fathe akikubless
ni ma pupu… ub~tch n~gga muanze kuvaa vest
cheki dosh dosh
hakuna haraka manze tuwapeleke mos mos
chunga usipate baraka waseme ni wash wash
ilifanya utoe kila kitu kwa mbosho
ki sssh ssh, kinawaka popote umoroto
ma twaa twaa msupa wako akipewa kiboko
cheki fala amekam na amezubaa
na anacheki eti subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
cheki fala amekam na amezubaa
na anacheki eti subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
subaru ya mambaru imekam na imejaa
alikam na kinini? kiturr…du!
kam na kinini? kibugdu..kuboom!
kam na kinini? ki shss! sssh!
ki hmm hmm! ki haa! haa!
alikam na kinini? kiturr…du!
kam na kinini? kibugdu..kuboom!
kam na kinini? ki shss! sssh!
ki hmm hmm! ki haa! haa!
na imejaa!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu parris chariz - broken love
- lirik lagu michal.ly - hypermind
- lirik lagu busta rhymes - fire in the hole
- lirik lagu hokuto - underrated
- lirik lagu caja negra - algo simple
- lirik lagu orion45 - i had a dream about you
- lirik lagu markus krunegård - jag gör mitt bästa jag lovar
- lirik lagu ekhoe - hegyek
- lirik lagu chris christian - whatever it is
- lirik lagu god's barber - heaven & hell