lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wakadinali - extremist

Loading...

eey yoh yoh
man a driller
niko na riba hapa nataka kuwachapia

(hr pump iyo track bana)

[intro]
beshte amechambua na akona lotta great ideas
but hanako tukis utadu what? kuwaibia
naongelelea about my peers
walikuwa hata dusit last year
extremist wataji pa! pa! pa! pa! bila hisia
beshte amechambua na akona lotta great ideas
but hanaku tukis utadu what? kuwaibia
naongelelea about my peers
walikuwa hata dusit last year
extremist wataji pa! pa! pa! pa! bila hisia

[verse 1]
vojas walitoka home friday ati kwenda mosque
after swalla akabaki nyuma juu mtaa hana kuplot
sheikh alimwonea huruma
akamuuliza kwani what’s wrong
sina dooh, sina dooh na mtaa joh hanaku form
nimesomea upilot na naonyeshwa ati kuna wera som
so ka una rada insha’allah, insha’allah
nishikanishe joh
nimechoka kubaki home
familia yangu joh inataka dooh
shika namba nihalla nihalla ka uko ready yoh
there is no need for you to suffer alone
we are hеre bro
uncle yangu ako na dooh lakini hata
hawezi nipatia loan
so ndo maana nataka kwеnda abroad
ama hio wera som
so ndo maana nataka kwenda abroad
ama hio wera som
hours turns days, weeks to months
mans is stressed he almost collapsed
extremism in his brain he don’t give a f~ck
he just need some sp~ce and money to bounce back
daily amekuwa posted block akimedi kuwashika koo
anaona it’s not easy though especially akifikiria mob
aliuzanga tropical akaona hio biz hainanga dooh
kila time anafikiria venye
ako one phone call to som

[chorus]
beshte amechambua na akona lotta great ideas
but hanako tukis utadu what? kuwaibia
naongelelea about my peers
walikuwa hata dusit last year
extremist wataji pa! pa! pa! pa! bila hisia
beshte amechambua na akona lotta great ideas
but hanaku tukis utadu what? kuwaibia
naongelelea about my peers
walikuwa hata dusit last year
extremist wataji pa! pa! pa! pa! bila hisia

[verse 2]
alikuwa depressed akapigia sheikh kufollow up ile case
hii kitu si mambo na race ama dini ni ngori ya state
alimpatia appointment after prayer
friday same, same place
hakuwa anaelewa akiekwa por potea without a trace
in the name of prayer, faith pia akaekelea
akaambiwa trip ya kwanza to somalia
inafaa ikuwe december
akapatiwa kakhi chweza kwanza
ndo akiachia familia yake better
akaanza kujiitamjahidin na
kutwambia venye anasepa
sai ako ketepa, masurba hatuwezi teta
kagetter tunaona vile amepenya
hatuk~muona after a while until tukamwona kwa crime
organised na al~shabaab akajilipua to his demise


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...