lirik lagu volvoh - salama
volvoh for jc…..
kreptonate production…
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
hata nikikosa dira unanionyesha eeenh
kwako nitakimbilia ntajificha eeenh
hata nikikosa dira unanionyesha eeenh
kwako nitakimbilia ntajificha eeenh
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshe
iwe shubiri asali, kwako tu ninsherehe
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshee
umenishow ni si worry mana siko pekee
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
wengine wakichiti
kwako niko fiti
nikusifu na mziki, nisijali za makiki
hata mziki uje uhiti
na kibiri kisizidi
nik~mbushe zangu dhiki
kwako nisipotee
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshe
iwe shubiri asali kwako tu ninsherehe
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshee
umenishow ni si worry mana siko pekee
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu dibuwev - ديبو - alby x 3a2ly - عقلى x قلبى
- lirik lagu kaizer - van cleef rings
- lirik lagu joy electric - let the past go
- lirik lagu j!nxed - jinxed me
- lirik lagu tommy richman & brent faiyaz - bother me
- lirik lagu dua lipa - how to love
- lirik lagu stephanie mills - i can't give back the love i feel for you
- lirik lagu soffyy - tentación
- lirik lagu ademlicht - alles of niks
- lirik lagu sabi (rus) & shami - верный (loyal)