lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu vivian kenya - uko tu sawa

Loading...

najua nina shida
siwezi kosa kosoro
kila mmja na yake
niliumbwa nilivyo
ata nawe ulivyo
nika sawa, uko sawa
nikingangana leo
tena niweke bidii
naeza pata kesho nokose kesho nikipata leo
naeza jifanya leo venye niko juu
kesho aliye chini ako juu
ya kawaida, ni hali ya dunia
endelea tu (uko tu sawa)
hapo tu (uko tu sawa)
tafuta tu (uku tu sawa, niko tu sawa)
endelea tu (uko tu sawa)
hapo tu (uko tu sawa)
tafuta tu (uku tu sawa, niko tu sawa)
mambo mob hayakuenda nilivyo tarajia
vikwazo vikinikata njia
watu fakey wakinisaliti
bulllsh~t promises wakiniahidi
wengi wao just out there tou use you
tabia zao ka zimeliwa na wadudu
wanafiki yani player hating roaches
wakijaribu kudistract my focus
i’d rather stay strong home boys niko smart
cash money brother tunawika, ati waaat
i’m laughing at them when they p~ssed and mad
waki~run their mouths abouts this and that
nikiwaclap and lyrically shotting bullets
close to the end cmb to the fullest
hadi mwinsho i’mma represent
nikiwa kwenye front line
niking’ang’ana leo tena niweke bidii
naeza pata kesko nikose kesho nikipata leo
naezajifanya leo vyenye niko juu
kesho aliye chini ako juu
ya kawaida, ni hali ya dunia
endelea tu (uko tu sawa)
hapo tu (uko tu sawa)
tafuta tu (uku tu sawa, niko tu sawa)
endelea tu (uko tu sawa)
hapo tu (uko tu sawa)
tafuta tu (uku tu sawa, niko tu sawa)
naezajifanya leo vyenye niko juu
kesho aliye chini ako juu
ya kawaida, ni hali ya dunia
ahhh…


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...