lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu villah troy, raphael mamuta & cas (ogleloo) - siezi mind

Loading...

[intro: villah troy, cas, raphael mamuta]
yow, villah
ni cas hapa joh kwa building joh
117, beberu

[verse 1: villah troy]
nak~mbuka ile time nilikuwa chini, nilikuwa mjini, nikisaka mashilingi
life ni hard, huwezi amini
on god, ju alituokoa tukiwa chini
ngwai kwa rizz, puff hio weed
cheza na mbogi wembe ujue itoka ni real
ati, ngwai kwa rizz, puff hio weed
cheza na mbogi wembe ujue itoka ni real
back in my side wananiita villah
kama sio ngwai, bro safisha
strap na glock, naeza kuzamisha
na ukikuja sana pia naeza kulalisha
6 feet, atazama 6 feet, cheza na hii strap utalala 6 feet
ati, in my side wananiita og
since ’05 n~gga nimekuwa, real
hizi ends manze joh sio eazy
either ukuwe mwizi ama ukuwe chizi
deep down, nafeel niko chini
najua one day, nitasema i did it
sio eazy, kuhop kwa hio mic kuambia hawa mafans vile life iko tight
babygirl, napenda uki whine
napenda venye kwa bed unanipea psych
still facing, this life
kam tuseti, siezi mind
hao mambleina, tutawachai
na ka ni story ya ganji, najua nitaziwai
bars hectic, nimetight
mi si pedi, na n~z~light
cheza chini, hi ni life
one day things gonna be alright
[verse 2: cas]
na ukinicheki, nakuanga kila siku na pedi
adi weekendi, zishike sana adi nimedi
nakuw~nga stedi, mi si sailor but a miracle baby
wajue ni kweli, nilisoma sikupanga kufeli
nikiwa maji, itabidi joh mkuje na meli
ati obsessions unadhani kwani mi sijipendi
fom ka imejipa imejipa
mi niko majaba ongeza mzinga
ningekupenda but babe uliringa
design nimehepa utadhani ni mimba
akipiga kimoshi walai si anajipa
huu shawry alishtuka venye ilivimba
anaitwa dhahabu but kw~ngu ni silver
naiskizia na nyuma anashikwa na shivers

[verse 3: raphael mamuta]
typa things, hundred things
n~gga did a hundred things for the finer things
went to h~ll and back and never found a ring
she still bent her back for the short king
crazy how i’m still standing in the ring
crazy how my girl waiting in the rain
gimme a hoe coz i wanna till this garden
kunaniboo venye kuko infertile
give me my flowers ata ka si valentine’s
n~gga alicross line alipe fine
n~gga anahate juu haelewi lines
dem wake alinishow niko fly kama kite
the bag is the only time i catch cases
on this side all i see, familiar faces
they can’t catch up on the bag they be chasing
all i’m left with, real made men, aye
[outro: villah troy]
still facing, this life
kam tuseti, siezi mind
hao mambleina, tutawachai
na ka ni story ya ganji, najua nitaziwai
bars hectic, nimetight
mi si pedi, na n~z~light
cheza chini, hi ni life
one day things gonna be alright


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...