lirik lagu vdj jones - niko ndani
look busy mmmh vile uko fresh
look tippy mmmh si basi tujilaich
twende hivi mmh uradi kujinyc
ndio sisi, sisi mmh
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
niko ndani deepsy
nimekata konyagi manze mpaka nko tipsy
alafu kila wiki nipate nikihustle
unaeza dhania ni lipsy, bae baby
walai niko na bibi
na siachi jo kwamboka
ju makwela ziko juicy mami
leo nakuta debbie
hio pongi nikishika
si utajua si kurahisi
haha hivyo ndo mi huwacheka
oka haha mbio kama mbeca
vibe yangu inakudunga inaguthesha
na mi si sere kama pin ya mpesa
kama bouncer nikirap mi ndo barbie
nawapiga kimistari kama radi
flow yangu inakuvaa kama shati
sina rasta but mi ni mnati
eque kabaya niko inde niko ndani
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
nilitoka lang’a kuja jiji kutafuta pesa
mistari zangu kali sikuhizi naskizwa na chaser
na tangu zimepanda si ati nini mi natesa
niko ndani biashara very soon ka impreser
mtabaki daily mkibonga, mkibonga daily nasonga
na doba bado inagona mistari bado nachonga
kutema buda sitachoka mistari bado naroga
ukiniona buda toroka niko ndani buda ogopa
cheki ni ngoma nzito gege na maringo
zi huchocha zi hufamimi
si ulete naskia thithi
leo mi nayo na hii hii
shanti si ati nini
ni mzing nilikam na mi
form ilijipa jones akapewa
mzinga zilikam ati alikasirika
si unajua genge ni mbaya
mmmh! ndio sisi, sisi mmh
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
ka ni form buda niko ndani
niko ndani, niko ndani, niko ndani
(king pheezlе on the beat)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu pev - voices
- lirik lagu almighty kahn - middle school class
- lirik lagu wanna2ouble - think about u
- lirik lagu kiuttibroke - gothik doll
- lirik lagu angerme - 新しい私になれ! (atarashii watashi ni nare!)
- lirik lagu meduza - tell it to my heart (kvsh remix)
- lirik lagu father's children - universal train
- lirik lagu the mandrake memorial - here i am
- lirik lagu annemarie eilfeld - so lang gewartet
- lirik lagu planet bones - dystopian humdrum