lirik lagu vanessa mdee - moyo
vee money on the track, yeah
[verse 1]
moyo unanikosea, moyo unanikosea
nakaa na wewe, natembea na wewe
nalala na wewe, bado unanikosea
zungumza nami mchana (la~la~la)
zungumza nami usiku (la~la~la)
kama haifai hata ndotoni tu
[bridge]
usishindane na kichwa (aah)
tumalizane yakaisha (aah)
moyo nirudishie maisha (aah)
mtupu, mtupu nimekwisha
[chorus]
moyo unanikosea, moyo unanikosea
moyo unanikosea, moyo
moyo unanikosea
moyo unanikosea (we moyo)
moyo unanikosea (‘asa mbona unanitorture?)
moyo unanikosea (we moyo)
moyo unanikosea (‘asa mbona unanitorture?)
[verse 2]
umeniadhibu chozi tiba yangu (we haya)
umeziharibu zote hisia zangu (basi sawa)
moyo mbona umenitoa chambo?
moyo we hunanga chanjo
moyo umenifanya pango
moyo huishiwi mipango
waongo wote unawaleta kw~ngu
wanaocheati nao ni wa kw~ngu
walevi wote nao ni wa kw~ngu
mbona unajitеsa?
[bridge]
usishindane na kichwa (aah)
tumalizane yakaisha (aah)
moyo nirudishie maisha (aah)
mtupu, mtupu nimеkwisha
[chorus]
moyo unanikosea, moyo unanikosea
moyo unanikosea, moyo
moyo unanikosea
moyo unanikosea (we moyo)
moyo unanikosea (‘asa mbona unanitorture?)
moyo unanikosea (we moyo)
moyo unanikosea (‘asa mbona unanitorture, moyo?)
we moyo ‘asa mbona unanitorture? (mbona unanitorture?)
we moyo, ‘asa mbona unanitorture?
we moyo
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu travis marks - nightstand
- lirik lagu chaka (fra) - ghetto gyal
- lirik lagu shayea - old
- lirik lagu 10kkev - jamal bates
- lirik lagu sylma - tva
- lirik lagu sun era - dog days
- lirik lagu slic - can't get enough
- lirik lagu shug (artist) - more than plain
- lirik lagu par4b0la - m4v3r1ck prod. imperial
- lirik lagu hillhaven - liar