lirik lagu v-be - ipo siku
vijana baru baru na wewe
mmmh
j~po ninapata kidogo ninalisha familia
vitu nimeweka kwa moyo haiwezi didimia
baridi unipiga kwa soko (mmh) angalau nipate mia
siku nitarudi kwa udongo hakuna deni nitawaachia
baba nibariki mimi nimshiriki bariki pia watu w~ngu
tusikose ridhiki tusichoshwe na dhiki mungu pitia kw~ngu
nyumbani tusiridi mikono mitupu waruu kukibeba tujazie kasuku
tuache mayai tukule mamake kuku ipo sikuu
ipo siku (one day)
najua ipo siku mama (one day)
watatuombea mabaya lakini hatutafeli
ipo siku (one day)
najua ipo siku ipo siku mama (one day)
watatuombea mabaya lakini hatutafeli
kiatu yangu ikinifinya naumiaga solo
kiraka labda tu kwa nguo sijivunji moyo
wananilenga kila siku nikiwaomba
mungu ndo malenga sheria yangu anaichora
tuko stanza one naishangi zile inanzanga shimo nimejitoa
watu wengi wazamanga pesa ni down na sina fare ya kwenda pharmacy
umasikini homa wapi tambala ya makamasi
nimechelewa ndoa kuna watu nalea
za chama sijatoa nitatumaje fare
nadunga sunday best ningoja blessing
shetani alinitest my performance was impressing
yes lord unanipenda me tremendously ukibariki wengine
sometimes i get jealous
pole nilianza na mwili nitamaliza na roho
usimalizane na mimi ni mimi ama chedoo
nibariki…
ipo siku (one day)
najua ipo siku mama (one day)
watatuombea mabaya lakini hatutafeli
ipo siku najua(one day)
najua ipo siku ipo siku (one day)
najua ipo siku mama (one day) watatuombea mabaya lakini hatutafeli
mungu baba when you remember me
ukinipa nyama nipe kachumbari
nisikufe moyo kuwa nami kwenye safari
mungu baba when you remember me
ukinipa nyama nipe kachumbari
nisikufe moyo kuwa nami kwenye safari
yes lord unanipenda me tremendously
sometime i get jealous
pole nilianza na mwili nitamaliza na roho
(ipo siku ipo siku yoyoo yoo)
ipo siku (one day)
najua ipo siku mama (one day)
watatuombea mabaya lakini hatutafeli
ipo siku najua (one day)
najua ipo siku mama (one day) watatuombea mabaya lakini hatutafeli
hatuta feli
ipo siku
hatutafeli
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu gorilla zoe - da baddest (clean)
- lirik lagu namebuddha x time - 16 epiphanies
- lirik lagu asster - tba 2
- lirik lagu sobralzzz - shara
- lirik lagu peter stampfel - under the bamboo tree
- lirik lagu runrig - chì mi'n geamhradh
- lirik lagu milos bojanic - dječak mali
- lirik lagu sondia - 사랑한다는 흔한 말 (never got to say that i love you)
- lirik lagu athena joy - blame it on the brain.
- lirik lagu ornella vanoni - canzone per te