lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu uncojingjong - wanjapi

Loading...

#instrumental

[chorus: uncojingjong]
piga luku kula wanj~pi (aha aha)
wanj~pi
piga luku kula wanj~pi (waah waah waah waah waah waah waah)
wanj~pi
piga luku kula wanj~pi (aha aha)
wanj~pi
piga luku kula wanj~pi (waah waah waah waah waah waah waah)
wanj~pi

[verse: uncojingjong]
piga luku kula mboto jump inna dih photooooooh
ni kama kuna joto vidole ni mangoto
mangoto moto motoooooooh kwa mkono wa kushoto
clarks pon clarks ah mih gang fi dih shine
mambati kwa wingi sijaomba ni za mine
lagunya delta ma cat ziko fine
ka gwanda si oriji don’t waste my time

[chorus: uncojingjong]
piga luku kula wanj~pi (mhh mh)
wanj~pi
piga luku kula wanj~pi
wanj~pi
piga luku kula wanj~pi
wanj~pi
piga luku kula wanj~pi
wanj~pi

[verse: uncojingjong]
to i looking fresh is important
luku jamo fisa juu chini siezi kosa
atakama siko mboka
sky larking na makeen na kimbota
to i looking fresh is importa ant
looking fresh is important
atakama siko mboka
sky larking na makeen na kimbota
mih av nowhere fi go
lakini kuna luku minataka kuwasho
so!
nawapita slow~mo
ukembe luku ukidai mboto kuja na madooh
mih av nowhere fi go
lakini kuna luku minataka kuwasho
so!
nawapita slow~mo
ukembe luku ukidai mboto kuja na madooh

[chorus: uncojingjong]
piga luku kula wanj~pi (mhh mhh)
wanj~pi
piga luku kula wanj~pi
wanj~pi
piga luku kula wanj~pi
wanj~pi
piga luku kula wanj~pi
wanj~pi

[verse: bullet]
nimevaa gwanda za kiw~nga
gwanda za kigma
gwanda ni mafosa
machina kujipa
skylarking ni rima
skylarking ni rima
skylarking ni rima

[verse: rap dokta]
jinika ni ya corduroy
jumu ni kiboko
hii kangol lazima ikae kombo
na nikitrace na warena
marim zimewaka
hii nganya lazima ikae lambo
hotter than you tuko hapo
me na luku ni kama tu macouple
makastade wanaitisha
kaa una mamboi basi unaeza zirudisha
gwanda ni gwanda
kula wanj~pi
rap dokta


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...