lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu uncojingjong - free g

Loading...

[intro: uncojingjong]
uhhaa uhhaa
hollan kodaaa
uncojingjong mi ni g
aaahaa
so free, so so so so so free

[verse 1: uncojingjong]
black is beauty black is beautiful
african blood ndani yangu ngozi melanin
niko kwa hall of fame, say my name
mi ndo refa kwa hii game, no pain no gain, no pain?
omg mi ni g na si siri ju nshaspill tea
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
no limitations mi nakuaga mtu free (zi zi zi zi)

[chorus: uncojingjong]
niko so free so free so free
mi ni g mi ni g mi ni g mi ni g
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
(zi zi zi zi)
so free so free so free
mi ni g mi ni g mi ni g mi ni g
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
(zi zi zi zi)
[verse 2: uncojingjong]
huwezi du (du) chenye mi hudu (du)
jaribu kudu (du) una dudu tu (jaribu du)
luku niyakiji~jinga
never die ndio slogan nmeiandika kwa silver (zi zi zi zi)
ntakosaje kuringa?
tangu lini ukaona nikitembea na wajinga?
mi natembea na condom ju nataka kujikinga (uuuhaa uuuhaa)
iyo riba nshamaliza, iyo topic nshaitinga
(never die ndio slogan siunajua tu) (zi zi zi zi)
paha~li kuna ngori mi hucome thru
ka uko na mambo nami kuja tubanje
tuma~lize hii shughli ki u kungfu
mi~a ka si lazima unitajе
ni kich~nku si unajua tuki ming yang
usicheze na the grеat ka amejam (zi zi zi zi)
jaribu kupatia iyo kijana gun
if i was you i would run
lakini sa tuko new era uliza papa fathela
ni mirista tuna tema nikisema nishasema
mi ni mhenga nshanena na nadai kuskia ukihema
nadai kuskia ukisema uuuhaa uuuhaa
(zi zi zi zi)

[chorus: uncojingjong]
niko so free so free so free
mi ni g mi ni g mi ni g mi ni g
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
(zi zi zi zi)
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
(zi zi zi zi)
so free so free so free so free
mi ni g mi ni g mi ni g mi ni g
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
(zi zi zi zi)
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
(zi zi zi zi)
yo big baba
yo haa
[verse 3: breeder lw]
mi ni g ,bw~ngi, goon, g~nius
mi ndo hubeba team jersey number ten
dna ya malcolm garvey jm
na ntakeep it real nkikubo finya next
“what do you want to be when you grow up?”
ndio teacher aliuliza nikajibu engineer
sahi nsh~grow up big baba all caps
kazi mi nadu mirista nawakindia
tuko wote weka shuksha kwa hii sinia
tutadishi kama bro na dua tupige pia
bombo alete usoo youth watanihandlia
mi nitadu kile nitadu hata kama kuidu ni hatia
nikipiga louis v mpoa apige nike
niko chifre allday bigi town nichi
weather ya 150 leo napiga night shift
mboka hisimami na ntafanya malpractice
east ndani nina ma bro guard
mchizi atakuchemkia akuachie sim card
nimetulia wanathani siezi boss up
nafeel ka thor na nimerudi asgard

[chorus: uncojingjong]
niko so free so free so free
mi ni g mi ni g mi ni g mi ni g
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
(zi zi zi zi)
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
(zi zi zi zi)
so free so free so free so free
mi ni g mi ni g mi ni g mi ni g
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
(zi zi zi zi)
hadi uende wapi huwezi pata mtu ka mi
(zi zi zi zi)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...